ni declare interest, sijawah kuapply idara tajwa....lakini kwa vilio vya walioomba ni wazi kuna tabia ya uhamiaji ilichukua hatam pale zimamoto. ni vema kama tzgov ikaendelea sehem nyingine il haki ictendeke pekee bali ionekane kutendeka kwa wtz wote! over
Mi niliwambia mapema kwamba uhamiaji itakuwa kimbembe baada ya kimbembe cha zimamoto lakini watu hawakunielewa ingawa pia huwa ni mgumu kueleweka mapema. Sasa ndo nimeeleweka hasa kwa wale walionikashfu.
Taarifa za ndani ni kwamba uhamiaji wameondolewa kibali cha kuajiri na sasa nafasi hizo zitatangazwa tena na idara fulani. Kuweni wavumilivu kidogo.
tusubiri tusaau maisha yaendelee aya mambo yanaboa kweli mtu wana kuacha ujue hata sababu wao hawatujui ila sisi tunajuana,tumesoma wote ila ndo ivyo yametokea tumeumia basi
Abdu Wakili kwa wale
wasiomjua ni mzee wa hekima na
busara na anayependa kunyoosha
mambo..lakini kumbukeni bajeti
ilishapita ya serikali kwaiyo cdhani
kama suala la kurudia usaili lipo mana
hilo fungu sijui litatoka wapi..mwaka
jana wizara iliomba fedha za kuendesha
mchakato wa kuajiri vijana 270 na fungu
likaja la bajeti ya 2013/2014..sasa
bajeti ya juzi ni ya vijana 270 wakiwa
mafunzo kwa takribani miezi 9 hadi
10..sasa ukianza mchakato wa usaili
upya na kuanza kuunda kamati na
kulipia ukumbi kama kule baraza kuu la
maaskofu ni pesa ya serikali ambayo
haikuwepo kwenye bajeti..kwa fikra
zangu ni kuwa kama kuna watu
walipendelewa hapo watolewe then
nafasi hizo ziachwe wazi waje
wazitangaze ajira mpya mwakani then
wale walionesha kuwa walipita kwa sifa
stahiki na walikuwa na vigezo vyote
wapewe haki yao..unapozungumzia
haki itendeke ni pamoja na kutoa
waliopendelewa na kuacha waliopita
kwa haki..sheria ni msumeno.
Ndugu
zangu tusubiri taarifa ya uchunguzi wa
kamati..kumbuka kamati ina wajumbe
wa 5 na imepewa siku 10 kukamilisha
report hiyo..na kwa mujibu wa
Nantanga kamati imepewa hadidu za
rejea kuhusu uchunguzi
huo..1.wachunguze uhusiano wa
majina ya washukiwa na watumishi wa
idara.2.wachunguze mchakato mzima
wa usaili ulivyoendeshwa pamoja na
tuhuma za kuwepo kwa rushwa.3.sifa
za wasailiwa na vipaumbele vya idara
je zilizingatiwa au kuna wengine
hawakuwa na sifa.3.wabaini ni
upendeleo wa aina gani
ulijitokeza..hizo ni baadhi ya hadidu za
rejea walizopewa kamati hiyo yenye
jumla ya idadi ya wajumbe wa 5 na
iliyopewa siku 10 kuanzia agosti 1 hadi agosti 10
kweli kaka hata zimamoto niyaleyale tu sema limeonekana la uhamiaji mm kuna jamaa yangu alifanya usaili zmamoto chakushangaza majina yaliyotoka kuitwa kwenye usaili na majina yaliyotoka kuitwa kazini tofauti kabisa halafu sasa jamaa ananiambia alipotokaka kwenye usaili akakuta kikund cha watu kinajadl maswali aliyoulizwa yeye ndani alipofatilia akakuta ni watoto au jamaa za askari wa zimamoto.....inasikitisha sana
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.