Sawa mmeichoka CCM, je mbadala wao mna waamini!?

Sawa mmeichoka CCM, je mbadala wao mna waamini!?

Kinachokusumbua mleta mada ni 'uwoga wa mabadiliko".

Watu Kama ninyi huwa hata ktkmaisha binafsi hamtoboi, kwasabb mnaogopa sana kuthubutu.

Nina hakika mleta mada huna hata biashara ya kukuingizia buku 2 kwa siku.
Muda ni wa kuheshimiwa sana.Huyu mpumbavu ndio leo amekuwa think tank wenu! Leo mnamsifia hana lolote.Ni opportunist tu.Hana msimamo ni bendera fuata upepo.
 
Wapinzani Tanzania? unazungumzia kina Dr Slaa?au Lowasa au Sumaye au Membe?....manake hapo ndo kulikuwa na wapinzani halafu wote ni CCM now.....the more things change the more they remain the same
Sure
 
Daily na waambia hapa Muda ni mwalimu mzuri sana mpaka tunafika 2030 Mungu atuweke ndo watu wataanza kushangaa kwamba pamoja na baadhi ya CCM wenye misimamo mikali huwa hata Chama kiteteleke vipi hawakimbii kwingine ? Ni kwasababu huko kwingine ni mzaha hakuna nia ya dhati ya kumkomboa Mtanzania !

Inafika hatua mtu anaona kutoka Upinzani kuhamia CCM ni ame improve Cv kuliko kutoka CCM Kwenda Upinzani!

Najiuliza maswali mengi juu ya Upinzani wetu wa Tanzania juu ya nia yao ya kweli kuitoa CCM madarakani siioni ila nachoona ndani Upinzani wanaenda asilimia kubwa waliokosa Ulaji ndani ya System wanapata platform ya kusemea, ila wakiitwa kuweka mambo sawa na Masalahi juu unashangaa wanakaa Kimya

Nimejipa time frame ya Miaka nane toka sasa uwenda CCM ndo utakuwa imeimarika zaidi ya ilivyo sasa kutokana na aina ya mchezo wanaoucheza kisiasa huku wapinzani wakisubiri wapangiwe jinsi gani wafanye siasa na washindani wao!

Vijana na watoto wadogo wenye tecno wanashindwa kutambua kwamba wako hapa kutetea vibaraka wa serikali

Mpinzani wa kweli nchii ni watu wawili ila top layer ya vyama vyote vya Upinzani ni vibaraka wa CCM na system inawatambua sana,

Wa awamu ya sita aliingia bila kujia baadhi ya misingi akaambiwa hii haiendi hivyo iache Hivi,

Wachunguzeni Viongozi WENU wa vyama vya Upinzani na mnaowasikiliza mtagundua ikiwa too late !!!!

Mungu ni Mkubwa na wengine mwaka tunaouanza hawataumaliza washatwangana ngumi…..

NB Upinzani unatumika Kama platform ya kusemea uonekane ili serikali ikupe kitengo na unyanaze

Britanicca
Mbadala Chadema na imani kubwa imewekwa mabegani mwake
 
Back
Top Bottom