Savei Pharmacy, Jirekebisheni

Savei Pharmacy, Jirekebisheni

Mrs Bishanga

JF-Expert Member
Joined
Jun 30, 2013
Posts
1,002
Reaction score
2,286
Wafanyakazi wa hii pharmacy ni wajeuri na wakatili kwa wateja. Kuna mwanamke mmoja ana sura kama ya baba yake anasonya wateja wanapomuuliza lolote. Mteja analipa hela kupata huduma sio analipia kununua dharau. Huduma ziko nyingi mkiendekeza dharau mtaifunga hii pharmacy. Hata Mwenye bus za Scandinavia alikuwa habari ya mjini ila Leo yuko wapi? Wana jf msiende Hii pharmacy.
 
Attachments

  • 1422203239262.jpg
    1422203239262.jpg
    64.5 KB · Views: 873
hivi hiki ki pharmacy bado kipo...kulikuwa na mwana-mama mmoja alikataa kuniuzia condom eti kwa vile sikumuamkia!!

Litakuwa ni hilo jeusi km mkaa lililovaa purple. Huyu mwanamke jeuri kama mtoa roho
 
Mama Komu hako ka pharmacy kako wapi nikajue!!
 
Daaa huyu dada cku moja nilimwambia nisaidie sabuni ya kuondoa vipele akaniambia yeye haijui na hataki kesi za kijinga duuu kumbe wanatabia mbaya sana hawa sio!!!! Daaaaa umenikumbusha nilimtukana sana akatishia kuniitia polisi nikamwambia mm mwenyewe polisi!!!!
 
Biashara na miradi ya watu kweli huharibiwa na wafanyakazi na watoa hufuma wasiojali kama hao mabinti. Nitafikisha malalamiko na maoni yenu kwa mwenye mali hope mkienda baada ya wiki moja mtakutana na lugha nzuri au mabadliko makubwa. Btw poleni sana kwa niaba ya mmiliki, ni rafiki yangu wa karibu
 
watu wengine mna mioyo mipana jamani, mpaka unasonywa haufanyi lolote!
hebu pigeni tupicha tuzuri hako kaduka tueneze ujumbe.
 
hivi hiki ki pharmacy bado kipo...kulikuwa na mwana-mama mmoja alikataa kuniuzia condom eti kwa vile sikumuamkia!!
sema ukweli hukuwa na cheti ya dk kukuruhusu utumie condom!!sio kila condom unabebatu zingine zinaiitaji support ya dk hasakwenye matumizi!!nawalewanaendekeza makaratasi ya dk ili ukikosea dose wawenaushahidi
 
Daaa huyu dada cku moja nilimwambia nisaidie sabuni ya kuondoa vipele akaniambia yeye haijui na hataki kesi za kijinga duuu kumbe wanatabia mbaya sana hawa sio!!!! Daaaaa umenikumbusha nilimtukana sana akatishia kuniitia polisi nikamwambia mm mwenyewe polisi!!!!
Wamezoea kuvua chupi kwa mdk na prof so wengine nimabwege!!ykitaka kucheka ongozana na maprof uone wanavyonyenyekea kamawanasubiri sakramentitakatifu
 
ndo umfikishie ujumbe sasa maana kwa mtindo huu ipo siku watajiuzia wenyewe

Back
Top Bottom