The King of Jews
JF-Expert Member
- Aug 11, 2013
- 478
- 108
Me nshaachaga long sana kwenda hapo
Duuh..hao wateja wawakimbie tu..Jaman twendeni Platinum pharmacy pale mikocheni opp shoppers plaza..wale wahudumu ni gud customer carers hadi raha!!
Ufamasia ni weledi, ushauri ni kwamba tafuteni jina la mfamasia wa hapo, utalipata kwenye cheti kilichopo hapo halafu mripoti baraza la wafamasia
upuuzi huu haukubaliki
hivi hiki ki pharmacy bado kipo...kulikuwa na mwana-mama mmoja alikataa kuniuzia condom eti kwa vile sikumuamkia!!
Duuh..hao wateja wawakimbie tu..Jaman twendeni Platinum pharmacy pale mikocheni opp shoppers plaza..wale wahudumu ni gud customer carers hadi raha!!
hahaaaaaa alikuwa anania mbaya na wewe huyu sio burehivi hiki ki pharmacy bado kipo...kulikuwa na mwana-mama mmoja alikataa kuniuzia condom eti kwa vile sikumuamkia!!
Heeeeeheee sialijua uitumii mwisho wasiku unatokanayo vChumban kama ilivyohivi hiki ki pharmacy bado kipo...kulikuwa na mwana-mama mmoja alikataa kuniuzia condom eti kwa vile sikumuamkia!!