Sautisol ft. Ali Kiba - Unconditionally Bae

Hahahahaaaaaaa maoni yako Mzee ungekuwa fair ungezungumzia na zile sauti zilizopanda za I beliiiiiiiiiiieve.... Ningejua umeskiza na umehukumu kwa haki ila kusema hakuna jamaa alichofanya kwenye wimbo ule ni kumuonea Mzee... Ali katisha sana mule haswa kwenye I belieeeeeeeeeve..
 
Sasa Ndio Nini hicho Mkuu? Huo Ndio ule utani niliosema mwanzoni, issue serious analeta maskhara! Fikiria jinsi alivyo ghani katika nyimbo Kama Njiwa, mapenzi yanarun Dunia, Mackmuga Na hata ule waliimba Na kina R.kelly linganisha Na huu utaona!
Kuna harufu ya utimu Fulani hapa japo hutaki kuweka wazi
 
Kuna harufu ya utimu Fulani hapa japo hutaki kuweka wazi
Me sina utimu Mkuu! Frankly speaking nawakubali wasanii wanaofanya vizuri including Kiba mwenyewe, shida ya Kiba amepanic, Mwambieni tampolise!
 
Me sina utimu Mkuu! Frankly speaking nawakubali wasanii wanaofanya vizuri including Kiba mwenyewe, shida ya Kiba amepanic, Mwambieni tampolise!
Katika hiyo nyimbo umemuonea mkuu... Hiyo nyimbo jamaa kaitendea haki from audio to video Mzee.
 
Duh kweli watz ni wachawi kama huu wimbo ni mbaya basi jide hakukosea pale aliposema chizi lazima ashushwe mirembe na safari iendeleee, Uncondationally bae ndio habar ya Africa kwa sasa, I beliveeeee. Pop it in
 
Daaaahhh Ally Kiba anazidi kuwa handsome na umri.

Wimbo mzuri sana. Nimeupenda kwa kweli.
 
Good music
 
Kiba acha aitwe mfalme... Funga kazi. Ile sauti ya kupanda ikageuzwa ikashuka.. Achaaaa kabisa!!! Naiweka Ringtone
 
Wimbo wa saut sol na Ali kiba ndani ya radio ya uswiss

nimetumiwa tu na Mshikaji anayeishi uswiss. Angalia hapo kwenye baadhi ya nyimbo zilizopigwa leo. Kiba yupo kwenye 14:--
 

Attachments

  • ImageUploadedByJamiiForums1459967974.669265.jpg
    63.2 KB · Views: 80
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…