Sauti yaleta balaa..

Yah kukutamani inawezekana ila sio kukupenda...love takes time..
 
Hapa nakoroga chai ya masala aka chai iliyokaangwa au kuungwa na viugo, ukitaka ya maziwa au ya rangi utapata na chai hiyo ule na kitumbua kitamu ukipendacho....
Utamu wa kitumbua huooo
 
Sasa si bora yeye sauti tu ilimfanya azimike na wewe
Mimi mwandiko wako tu na usimuliaji wa makala zako mi hoi
Nakuzimia sana basi tu hujaingia moyoni mwangu
 
Huwa tunawadaka kwa kuwadanganya na kuwasifia so usilewe sana maplayer ndo tulivyo
 
Sasa si bora yeye sauti tu ilimfanya azimike na wewe
Mimi mwandiko wako tu na usimuliaji wa makala zako mi hoi
Nakuzimia sana basi tu hujaingia moyoni mwangu

Hhahahahahhaaaa Mwanaka weweee heheheheee nashukuru kunizimikia Kasie mie πŸ˜‰

Nachelea kuingia moyoni mwako damu itaacha kutembea kwa majukumu mapya yatakayokuwa yamepatwa na moyo wako heheheee πŸ˜›
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…