hahahaa mkuu umnchekesha ..et tz urais ni muujiza unaoweza kumpata yeyote yule aisee nmecheka mpk basiKwa nini mnapenda hii nchi iongozwe na mtu ambaye hakujiandaa
Hilary na anafaa kwa Marekani maana kajaribiwa na kaonekana anaweza kulinda maslahi ya nchi
Hata wafanyeje, Trump anashinda tuKwanini mnaonyesha upendeleo wa wazi kabisa kumpendelea mgombea urais wa Marekani Hillary Clinton, je kwanini mnamuogopa Donald Trumph,Acheni upendeleo