Mshamba kivipi? Fafanua tafadhali.
Sauti ya NIKAE ni wimbo ulio asisiwa na somebody Malifedha, alikuwa Second Master wa shule fulani, 1986. ''...nikitaka niishi vizuri inanibidi NIKAE..." alisema Malifedha, alipoombwa kufafanua ndipo aliposema NI= Nidhamu, KA = Kazi, E = Elimu. Baada ya hapo ndipo ulipotungwa wimbo " Sauti ya NIKAE " na NIKAE ikawa 'slogan' ya shule.
Bilalo? Kihawa, Tibikunda na Kibatala ndiyo walikuwa ma-headmaster wetu kwa nyakati tofauti Kidato cha kwanza hadi kidato cha nne.