sauti ya madame b

sauti ya madame b

Joeli

JF-Expert Member
Joined
Apr 25, 2011
Posts
4,941
Reaction score
3,414
mweee nzuri, sijui katokea tanga? kweli Chimbuvu anafwaidi
 
Last edited by a moderator:
Madame B naona kawa kama bibi na wajukuu katika hii CC kila mtu anamtania!

Mpindue basi kama unamudu ugomvi tehe tehe.
 
Last edited by a moderator:
mweee nzuri, sijui katokea tanga? kweli Chimbuvu anafwaidi

Ndo maana amewapangisha foleni watu kibaaao, kama vipi na wewe unga tela na wewe ufaidi sauti...
 
Last edited by a moderator:
Mi huwa siwezi kulala bila ya kuongea naye madame b.....aaah swadaktaaaa
 
Last edited by a moderator:
Madame B naona kawa kama bibi na wajukuu katika hii CC kila mtu anamtania!

Mpindue basi kama unamudu ugomvi tehe tehe.
Hata mimi napataga raha sana kumtania Madame B. Kisa? Ni kwa sababu yeye anapenda sana matani na mizaha.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom