Sauti ya gwanchele akitoa tamko juu ya chadema

Pwaaaa

JF-Expert Member
Feb 16, 2013
248
67
Wapendwa wana JF, kama nilivyowaahidi muda mfupi uliopita kwamba nitawaleteeni sauti ya Gwanchele wakati akisoma tamko kuhusu Chadema na Zitto, leo Hill Front Hoteli iliyopo Igoma jijini Mwanza mbele ya waandishi wa habari. Naomba ufungue na usikilize mwanzo hadi mwisho.

GWANCHELE anadaiwa alishafukuzwa ndani ya Chadema miaka kadhaa iliyopita, na inaelezwa kwa sasa ni mwanachama hai wa Chama cha Alliance For Democtaric Change (ADC), lakini hapa anazungumza akijiita ni mwenyekiti wa Vijana Kanda ya Ziwa Magharibi, Mjumbe wa Kamati Tendaji ya CHADEMA Wilaya ya Ilemela jijini Mwanza na mwenyekiti wa Umoja wa Matawi CHADEMA mkoa wa Mwanza. Sasa namwaga mboga na ugali, sikiliza uchambue pumba na mchele!.
 
Weka link mkuu

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
Back
Top Bottom