Enny JF-Expert Member Joined May 26, 2009 Posts 962 Reaction score 131 Jun 11, 2013 #1 Hii ni kwa wadau wengi walikuwa wenye dstv lakini channel ya tbc haitoi sauti, cha kufanya ni kunterchange cable nyeupe na nyekundu. Pale kwenye nyeupe weka nyekundu na kwenye nyekundu weka nyeupe., utapata sauti.
Hii ni kwa wadau wengi walikuwa wenye dstv lakini channel ya tbc haitoi sauti, cha kufanya ni kunterchange cable nyeupe na nyekundu. Pale kwenye nyeupe weka nyekundu na kwenye nyekundu weka nyeupe., utapata sauti.