Nereaa usitoe mimba yangu mama Mungu akikupa mtoto analeta baraka zake mama.
Huu wimbo enzi hizo dah.....
Ikaja ile Sura yako muzuri mamaaa aa eeee aaeee.......
Isabela. Hii ngoma sina cha kuogezea. Enz hizo namfatilia bint anaitwa hilo jina.
Then ile collabo na ally kiba. Im not the fan for ally but kwa hii ngoma aliua kabisaa ile saut yake nilizidi kuwaelewaa......
Kuliko jana.... wimbo wangu wa mara zote. Faraja yangu.
"Bwana ni mwokozi wangu tena ni kiongozi wangu ananipenda leo kuliko jana......yesu nipende leo kuliko jana
"Na maadui zangu ninawaombea maisha marefu....
"Ujue binadamu ni watu wa ajabu saana
African
African star
Extravagancy humo kile kiswahil chao chakikenya kinanifurahisha saaana.
"Wakaita polisi kumbe polisi ni shabiki...
" wakaficha msosi wakatupata na dishi mezani...
"walifunga milango wakatupata ndani.
Hapana rusha mawe kwa police station....
Melanin.......mwamba wa africa petoranking aliuwa saana flow zake.
Suzana....
'' mwanamke tabia shep ni majaliwa...ila wengi walinyimwa tabia na shep kabarikiwa......
""Mwanaume hisia na pesa ni majaliwa ila wengi aalinyimwa hisia na pesa kabarikiwa
Sent using
Jamii Forums mobile app