hassandilunga
Senior Member
- Mar 17, 2020
- 146
- 151
Ukiombea ww inatosha
Kama wwWavuta bang tuu hao
Ahahahahahaaha ambiereeeeWavuta bang tuu hao
Huyo mrefu anaitwa Baraza ni Nouma,Vocalist mkali sana,yaani kwenye nyimbo zao mala nyingi watu wengi hukariri verse zake kuliko za wasanii wengine kina Savara..ila Mimi namkubali sana Savara.
Jamaa balaaaHuyo mrefu anaitwa Baraza ni Nouma,Vocalist mkali sana,yaani kwenye nyimbo zao mala nyingi watu wengi hukariri verse zake kuliko za wasanii wengine kina Savara..ila Mimi namkubali sana Savara.
Unapenda wasanii matozi?
Hawa jamaa wakuitwa Sauti Sol ni hatari. Nasikiliza hii ngoma wakiwa na BurnaBoy inaitwa Afrikan Star ni hatari. Good Melody,Lyrics,Beats Etc.[emoji91][emoji91]
Nakuja kugundua huyu jamaa mrefu ni zaidi kwa kundi lao jamaa hatari..
Weka picha ya huyo jamaa mrefu mkuu..
Hilo kundi ndo linaakisi maana halisi ya wanamuziki
Sent using Jamii Forums mobile app
Alafu minguo ya kizamani😂🎶🎶"and I see you in chinaaa
Silicone on your bumbum
Shaking what your doctor gave you
On your worst behavior
Oooh Suzanna bhane..
Senjeeeee🎶🎤😎
🔥Nawakubali sana..huyo kipara nadhani ndio iconic kwenye kundi. Namkubali zaidi.
Mm sibagui beti kaimba nani hua nakariri za wote..
Nnayokaitafute na hii suzana