Sauti Sol Hawana Mpinzani Kwa Sasa

Sauti Sol Hawana Mpinzani Kwa Sasa

Kichwa Kichafu

JF-Expert Member
Joined
Apr 13, 2017
Posts
44,996
Reaction score
189,582
Habari.

Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni kwa huu msemo uende moja kwa moja kwa Sauti Sol kwa kazi bora wanazoachia maana wana consistency nzuri ku-maintain ubora wao.

Kwa sasa kuanzia production kwa ujumla na vionjo vyote pamoja na mpangilio wa mashairi yao vimepangiliwa.

Tukiacha na neno la "kipaji" ambavyo watu wengi wanalichukulia kama ndio kila kitu kwenye mziki na kusahau kujituma kwa bidii hawa jamaa watakuwa wanajituma sana ndio maana tunaona kazi bora toka kwao.

Wasanii wetu wa bongo jaribuni kuwaangalia hawa jamaa nadhani kuna kitu cha kujifunza hata namna wanavyoimba.

Nyimbo zao karibia zote wanatumia lugha yetu mama sioni kama kuna kisingizio chochote.

Pia mwisho wa mwaka nahisi wameshirikishwa kwenye karibia kila album za wasanii wakubwa wote kama akina Burna boy, Patoranking n.k

Namaliza kwa kusema hadi sasa hawana mpinzani na wakiendelea hivi basi tutawaona mbali na hata kuanza kupata tunzo kubwa ndani na nje ya Afrika.

Nawasilisha Mzee Mkoloni

Cc: Kichwa Kichafu.
 
'In my life, I've never seen melamine so dark shaking like a tambourine...'
These guys are the best lyrically and vocally
 
Hawa jamaa ni noma

Napiga ngoma zao all day

My fav song kweny simu yng now

1) Extravaganza
2) Midnight train
3) Insecure
4) Melanin

Back
Top Bottom