Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 52,771
- 165,405
Habari wakuu,
Gazeti la SAUTI limeripoti kuwa waziri wa mambo ya nje mh.Bernad Membe ndie atakuwa waziri mkuu.Pia gazeti hili limeripoti kuwa Dr Asha Rose Migiro ndie atateuliwa kuwa waziri wa mambo ya nje.
Vile vile gazeti hilo linasema mh Pinda kaamua kuachi ngazi kufuatia kelele za kumtaka ajiuzulu.
CHANZO:SAUTI
MY TAKE:
Lisemwalo lipo kama halipo laja.
Membe kuwa PM? Asahau kuwa mgombea urais. Zaidi ya Baba wa Taifa,Mwl JK,hakuna PM mwingine aliyefanikiwa kuwa mgombea urais,acha kupata hicho kiti cha urais,ingawa karibu wote walijitosa(isipokuwa Moringe name Warioba).
Kivipi
Kwani pinda kawaambia anatoka?
mbona mimi nimesikia membe waziri wa tamisemi kimkakati zaidi.
Source. New year
Kwani yupo???!!!
Hapi nyuu ia!!!!
Haiwezekani kutoa wote hao wakabaki makatibu wakuu tumalizie ngwe???!!!!
haiwezekani kutoa wote hao wakabaki makatibu wakuu tumalizie ngwe???!!!!
Hahahaa haaaa nchi hii bana
Hap nyu ia tuu bro!!!!
litakuwa jambo la busara sana ......