excellentone
JF-Expert Member
- Aug 28, 2017
- 721
- 471
Is there a difference between a mental illness and a mental disorder??!!!!!!!?????Hamna shida as long as UJENGWE UWANJA UNAOENDANA NA THAMANI YA HIYO HELA...
Kingne ambacho mleta maada unatakiwa kutambua SISI BINADAMU tuna hulka ya kuwajali watu wetu wa karibu sana hili halina tofauti na MBOWE kuwapa tenda kampuni za ndugu zake ndani ya chadema tena kibaya zaidi hao wanaopewa tenda wanatoa huduma isiyoendana na thamani ya pesa ili MBOWE NA MREMA wapate cha juu.....kuteua wabunge viti maalumu WACHAGA ili kuficha uchafu wake