PROFESA KYANDO
Member
- Jul 24, 2012
- 81
- 6
Kimsingi gazeti hili sijui linatumiwa na nani kuwavuruga na kuwachafua mashujaa hawa..? Kwa kusema wanafanya vituko bungeni.. Nimejiskia vibaya sana.. Na kuona kichefucheefu..
nakumbuka siku moja SS aliviita ni vigazeti vya hovyo hovyoKimsingi gazeti hili sijui linatumiwa na nani kuwavuruga na kuwachafua mashujaa hawa..? Kwa kusema wanafanya vituko bungeni.. Nimejiskia vibaya sana.. Na kuona kichefucheefu..
Chama kitajiharibu chenyewe Gazeti litaharibuje Chama? huko nako kutapa tapa.naona wanataka kutuvuruga na kutuharibia chadema yetu.. Hasa msim huu wa mwezi mtukufu ..watatuharibia swaum yetu Natamani ningekuwa wazir ningelipiga bann.. Gazet hilo upes
Wote LISSU na MNYIKA wanalo. Mnyika, kabla hatujasahau alivyoiba kura kwa laptope, kashfa nyingine ya nishati na madini. Lissu atakumbana na kusimama kizimbani pale atakaposhindwa kutoa ushahidi dhidi ya SENDEKA, tusubiri tu vi2ko vyao mtazidi kuviona kama bado hamjaamini kwamba ni wa2 wa vi2ko.Kimsingi gazeti hili sijui linatumiwa na nani kuwavuruga na kuwachafua mashujaa hawa..? Kwa kusema wanafanya vituko bungeni.. Nimejiskia vibaya sana.. Na kuona kichefucheefu..
wanatapatapa tu,waende malawi wakapambane.
wenzio wanachukua nchi wao na udaku tu.
akauonyeshe ukiranja huko kwa bi.malawi