Saut-Mwanza Semista ya Pili inaanza Kesho

Chuo gani hiki cha division 3 na 4

Limtu lenyewe limesoma chuo cha zoom pale magomeni afu linajifanya kuongea hapa..toka zako na elimu yako ya kuunga unga..swine kabisa..muulize baba ako asingepata div 4 kama angepata mama ako...mama ako akampendea baba ako sababu ya hiyo division 4 yake maana ndio alikua msomi kijiji kizima..heshimu div 4 mwehu wewe ndio imesababisha uje duniani...swine blood fool
 
Mkuu kama unataka tubishane tubishane wenyewe na sio wazazi! na hii inatokana na wewe kusoma kwenye chuo cha div3&4 uwezo wako mdogo wakujibu hoja na pia walimu wanaokufundisha hapo saut hawajakupika vizuri
 
Unakuta kozi kama sheria(LL,B) SAUT inachukua mpaka iii.17 jamani huu ni udhalilishaji wa taaluma makini ya sheria kwa sababu kozi ya sheria inahitaji watu wenye ufaulu mzuri ! mbaya zaidi unakuta chuo cha SAUT kozi ya sheria kinachukua mpaka waliopata F&S za kingereza hii ni hatari sana
 
Nani kakuambia SAUT ni jikoni kwahiyo kuna kupikwa...
FYI vyuo vyote Tanzania mfumo wa kufanyia udahili wanafunzi unasimamiwa na TCU husiwe unakurupuka tu..
 
Unakuta kozi kama sheria(LL,B) SAUT inachukua mpaka iii.17 jamani huu ni udhalilishaji wa taaluma makini ya sheria kwa sababu kozi ya sheria inahitaji watu wenye ufaulu mzuri ! mbaya zaidi unakuta chuo cha SAUT kozi ya sheria kinachukua mpaka waliopata F&S za kingereza hii ni hatari sana

Sasa povu la nini?
Nenda TCU kawaambie wakifute!!!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom