default kysh
Member
- May 23, 2018
- 27
- 23
Komaa aise, nshawahi kusoma course 11 per semester hukohuko chama la wana, jasho lilintoka kila angle ya mwili.
Sasa nimeelewa ...Saut mapadri wanagawana modules na kuzifanya kozi ili tu wafanye kazi.....
Elimu biashara, mtihani wa SUP unalipia. Unatarajia kuna mtu atakosa SUP hapo.nimepata udhoefu kwa baadhi ya wanavyuo wenzangu toka UDOM,UDSM,WALIOSOMA TEKU,SAINT JOHN na baadhi ya vyuo.KOZI NYINGI KWA SEMESTER NI KATI YA 9 NA KUMI
Sasa saut mbeya center wanaosoma semester 1 wana kozi 15 sasa hapo ni kukomoa au ndiyo kumpa maarifa