SAUT Mbeya, kozi 15 kwa semester mtu anasomaje?

lindunduru

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2015
Posts
392
Reaction score
555
nimepata udhoefu kwa baadhi ya wanavyuo wenzangu toka UDOM,UDSM,WALIOSOMA TEKU,SAINT JOHN na baadhi ya vyuo.KOZI NYINGI KWA SEMESTER NI KATI YA 9 NA KUMI
Sasa saut mbeya center wanaosoma semester 1 wana kozi 15 sasa hapo ni kukomoa au ndiyo kumpa maarifa
 
Hapa ndipo utapoikubali ile kauli ya Bongo bahati mbaya.

Tunakomoana tu, nani akupe maarifa ya kozi 15 kwa semester?
 
nimepata udhoefu kwa baadhi ya wanavyuo wenzangu toka UDOM,UDSM,WALIOSOMA TEKU,SAINT JOHN na baadhi ya vyuo.KOZI NYINGI KWA SEMESTER NI KATI YA 9 NA KUMI
Sasa saut mbeya center wanaosoma semester 1 wana kozi 15 sasa hapo ni kukomoa au ndiyo kumpa maarifa

Nchi hii tuna matatizo makubwa kuliko tunayoyafikiria. Wenye kuelewa watanielewa.
 
nimepata udhoefu kwa baadhi ya wanavyuo wenzangu toka UDOM,UDSM,WALIOSOMA TEKU,SAINT JOHN na baadhi ya vyuo.KOZI NYINGI KWA SEMESTER NI KATI YA 9 NA KUMI
Sasa saut mbeya center wanaosoma semester 1 wana kozi 15 sasa hapo ni kukomoa au ndiyo kumpa maarifa
Hlo ndo janga la SAUT unakuta kozi za kawaida(normal) + institution coursez... Karbu SAUT mkuu
 
Bongo bna Hivi vyuo vinajiendea tu kwanza hizo courses unakuta most of them ziko outdate na Hakuna Mikakakati ya kuchage curriculum ili ziweze kumet Currently needs Ndio, Graduate wetu wanatia aibu sana linapokuja swala la international exposure unaeza ambiwa hawa na graduates ila ukiongea nao within a minute unaona ni madebe matupu yaliyojaa madesa.
 
Chuo kama hichi Rushwa ya ngono,degree,diploma za kununua zinakosaje kuwapo.
 
Elimu ya bongo ni matango pori tu, kuanzia wahadhiri mpaka wanafunzi asilimia kubwa wanakariri.
 
nimepata udhoefu kwa baadhi ya wanavyuo wenzangu toka UDOM,UDSM,WALIOSOMA TEKU,SAINT JOHN na baadhi ya vyuo.KOZI NYINGI KWA SEMESTER NI KATI YA 9 NA KUMI
Sasa saut mbeya center wanaosoma semester 1 wana kozi 15 sasa hapo ni kukomoa au ndiyo kumpa maarifa
Mimi ni Tomaso ili nielewe unchosema naomba utupe mfano wa program na course wanazofundisha na ukubwa wa kila kozi. Pia tujue ni program gani, mwaka wa ngapi. Hii itayuwezesha kuona kile tulicho aminishwa kitafanyika na kile kinachofanyika.
 
Course 15 per semister..No way

Programme gani??

Mkuu tunasubiri, mbona kama umepotea kwenye huu uzi au watulisha matango pori?
 
Inategemeana unasoma kozi gani mkuu. Mm nimesoma saut na nimesoma kozi kuanzia 8-7-8-6-7-5acha kulia lia sema tatizo ni france au nn?? Wanaosoma kozi 10+ ni education na ndio kozi best ktk chuo na vyuo vingine. Mkopo wanapewa wanaosoma education kwa kumbi za art ni saut na baadhi vichache jiukize kwann??
 
Back
Top Bottom