Saundi Za Mpendwa....!!!

donlucchese

JF-Expert Member
Joined
Mar 23, 2011
Posts
17,258
Reaction score
22,139
Jamaa: hello mrembo ,samahan una mpenzi?
Binti: hapana sina mpenzi
jamaa: mwanzo 2:18 Bwana Mungu akasema ,si vema huyu mtu awe peke yake nitamfanyia msaidizi wa kufanana nae
binti: lakini mimi sikupendi
Jamaa: waraka wa kwanza wa yohana 4:8 Yeye asiyependa hakumjua Mungu, kwa maana mungu ni upendo
Binti: mh, mm nitajuaje kama we mwaminifu
Jamaa: Injili ya marko 13:31 Mbingu na nchi zitapita lakini maneno yangu hayatapita kamwe
Binti: wewe kwanini umekuja kwangu? Wasichana wengine hujawaona?
Jamaa: Mithali 31:29 Binti za watu wengi wamefanya mema lakn wewe umewapita wote! CHEZEA MPENDWA KWA VIFUNGU WEWE!
 
hata shetani hutumia bibilia.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…