Saudis clear Israel to bomb Iran? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Saudis clear Israel to bomb Iran?

Discussion in 'International Forum' started by MziziMkavu, Jun 13, 2010.

 1. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #1
  Jun 13, 2010
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,620
  Likes Received: 4,614
  Trophy Points: 280
  Riyadh opens air space for run on nuke facilities, paper says


  LONDON - Saudi Arabia will allow Israel to use a narrow corridor of its airspace in the north of the country to shorten the distance for a bombing run on Iran's nuclear facilities, the London Times reported on Saturday.Quoting unnamed U.S. defense sources, the newspaper said Riyadh conducted tests to be sure its own jets would not be scrambled and missile defenses not be activated so Israeli bombers could pass by without problems.

  The path would shorten Israel's bomb run, The Times said.

  Once the Israelis go through, the kingdom's air defenses would return to full alert, the newspaper said. "The Saudis have given their permission for the Israelis to pass over and they will look the other way," said a U.S. defense source in the Persian Gulf area told the Times. "They have already done tests to make sure their own jets aren't scrambled and no one gets shot down. This has all been done with the agreement of the [US] State Department."

  Permission 'common knowledge'

  Sources in Saudi Arabia said it is common knowledge within kingdom defense circles that an arrangement is in place if Israel decides to launch the raid, the Times said. Despite the tension between the two governments, they share a mutual loathing of the regime in Tehran and a common fear of Iran's nuclear ambitions.

  "We all know this. We will let them [the Israelis] through and see nothing," a Saudi source told the Times.
  The newspaper pinpointed four main targets: The uranium enrichment facilities at Natanz and Qom, the gas storage development at Isfahan and the heavy-water reactor at Arak. Secondary targets include the Russian-built lightwater reactor at Bushehr, which could produce weapons-grade plutonium when complete, the Times said.

  The targets lie as far as 1,400 miles from Israel, the paper said, noting that distance is the outer limits of the Jewish state's bombers' range even with aerial refueling. An open corridor across northern Saudi Arabia would significantly shorten the distance. An airstrike would involve multiple waves of bombers, possibly crossing Jordan, northern Saudi Arabia and Iraq. Aircraft attacking Bushehr, on the Gulf coast, could swing beneath Kuwait to strike from the southwest, the newspaper said.

  Plan needs U.S. consent

  Passing over Iraq would require Washington's consent. The Obama administration has refused to give its approval as it pursues a diplomatic solution to curbing Iran's nuclear ambitions, the Times said.
  The Times' revelation comes in the same week the U.N. Security Council imposed a new round of sanctions on Tehran. Israel and the West accuse Iran of building nuclear weapons, a charge it denies. Iran vowed to continue enriching uranium after the vote.

  Israeli officials refused to comment on details for a raid on Iran, which Prime Minister Benjamin Netanyahu has refused to rule out, the Times said.

  Aharaon Zeevi Farkash, who headed military intelligence until 2006 and has been involved in war games simulating a strike on Iran, told the Times: "I know that Saudi Arabia is even more afraid than Israel of an Iranian nuclear capacity."

  Netanyahu's predecessor, Ehud Olmert, is believed to have held secret meetings with high-ranking Saudi officials over Iran, said Haaretz, an Israeli newspaper.

  Saudis clear Israel to bomb Iran? - Iran- msnbc.com
   
 2. Kichuguu

  Kichuguu Platinum Member

  #2
  Jun 13, 2010
  Joined: Oct 11, 2006
  Messages: 7,203
  Likes Received: 864
  Trophy Points: 280
  Interesting. I would ask Iranians to reconsider their provocation policies; the results could be unimaginable.
   
 3. Ab-Titchaz

  Ab-Titchaz Content Manager Staff Member

  #3
  Jun 13, 2010
  Joined: Jan 30, 2008
  Messages: 14,702
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 135
  ...Mkuu and that is for the whole region. I just cant imagine the nuclear fallout all over the mid-East once these bombs start raining.God forbid.
   
 4. U

  Ubungoubungo JF-Expert Member

  #4
  Jun 13, 2010
  Joined: Jul 28, 2008
  Messages: 2,508
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  good news for me, natumaini israel watapata uamuzi wao wa mwisho ni lini wafanye hivyo haraka ili kuondoa threat middle east...tunashukuru Saudia kwa wema wako...tunajua umetusaidia hivyo kwasababu wairan wengi ni mashia na wewe ni suni...lakini kwasababu kuna faida kwetu, sisi hilo halituhusu...Shukran!
   
 5. m_kishuri

  m_kishuri JF-Expert Member

  #5
  Jun 13, 2010
  Joined: Jan 27, 2010
  Messages: 1,489
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  PROPAGANDA, pure and simple. Kama ni kweli, hakukuwa na haja ya kuwataarifu Iran na Dunia. Kwangu mimi haingii akilini.....
   
 6. Zak Malang

  Zak Malang JF-Expert Member

  #6
  Jun 13, 2010
  Joined: Dec 30, 2008
  Messages: 5,410
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0
  Yes, propaganda. Hilo gazeti la The Times linamilikiwa na Myahudi Rupert Murddoch, aliyekuwa sapota mkubwa wa GW Bush na siasa za kihafidhina mamboleo.
   
 7. Zak Malang

  Zak Malang JF-Expert Member

  #7
  Jun 13, 2010
  Joined: Dec 30, 2008
  Messages: 5,410
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0
  Nauliza: Hivi Iran nayo haina haki kabisa (kama vile Israel iliyojipachika) ya kupiga bomu kiuuo cha nuclear cha Israel cha Dimona katika jangwa la Negev? Haina haki kabisa? Hii dunia inakwendaje"? Yaani dunia ya -- "mimi ninonayo haki ya kufanya hivi, wewe huna haki hiyo!".

  Halafu humu ndani kuna watu wanasapoti kitu cha namna hiyo! Ndiyo maana jhitihada zote za kuleta amani duniani ni kupoteza muda iwapo hali ni hii.

  Kutokuwapo haki hata hapa nchini kukpo; kuna watu flani vigogo wanakupua mabilioni ya wananchi lakini hawaguswi na kuna watu wanashabikia. lakini wale wanyonge wakiiba bata wanafungwa na watu wanasapoti kwamba hiyo ni sawa.
   
 8. Kinyambiss

  Kinyambiss JF-Expert Member

  #8
  Jun 13, 2010
  Joined: Dec 2, 2007
  Messages: 1,372
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Israel..USA..Iran..Saudi Arabia...Shia..Sunni.. Parefu hapa. At the current rate, Iran will have a bomb in by 2012-2013 tops, they wont use it but will already be in a position to make demands and not be touched. Saudi Arabia will have to go nuclear (rightly so) to ensure that Sunni Islam is protected from the Iranian Shia movement which would be in a position to directly try and take over the 2 Holy Mosques in Saudi Arabia... as their doctrine suggests. Its not Israel that they want. Its a ploy, I mean Israel has 200 bombs, and when you want to go and destroy someone you just do it, you do not tell them that you want to wipe them off the face of the earth first... All in all humans are stupid and atomic energy should be used to do other things and not as weapons (as it was the first instinct of human beings once it could be accessed).
   
 9. Kinyambiss

  Kinyambiss JF-Expert Member

  #9
  Jun 13, 2010
  Joined: Dec 2, 2007
  Messages: 1,372
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  "kwetu, sisi" and who is that?
   
 10. Gamaha

  Gamaha JF-Expert Member

  #10
  Jun 13, 2010
  Joined: Jul 17, 2008
  Messages: 2,695
  Likes Received: 753
  Trophy Points: 280
  kumbe mkuu ni mu israel? nilifikili mtanzania mwenzangu, kiswahili kimefika mpaka israel kweli kimekua
   
 11. U

  Ubungoubungo JF-Expert Member

  #11
  Jun 13, 2010
  Joined: Jul 28, 2008
  Messages: 2,508
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  punguza hasira, just wait and see what is going to happen to Ahmadnejad...take it easy!
   
 12. m

  mmakonde JF-Expert Member

  #12
  Jun 13, 2010
  Joined: Dec 26, 2009
  Messages: 967
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0

  Lazima ujue Uislamu umegawanyinka vibaya sana.SHIA ISLAM na Wa Sunni ni tofauti kabisa.ANGALIA suicide bombing dhidi ya Washia kila mara wanapokwenda kuhiji huko IRAQ!Juzi tu kwa WaPAKISTAN wa AHMADIYANI wameuliwa na materrorist wa Ki Sunni,wakawafata hadi hospitalini kuwa shoot!

  Hivyo utaona Wasunni wengi,hasa serikali za Egypt,Saud,Gulf States hazipendi kabisa IRAN iwe na Nuclear bomb.
   
 13. U

  Ubungoubungo JF-Expert Member

  #13
  Jun 13, 2010
  Joined: Jul 28, 2008
  Messages: 2,508
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  mweleze huyo haelewi, hajiulizi kwanini baada ya iran kusikika ikiwa katika stage nzuri ya nuke, saudia iliagiza ndege za kivita za kisasa kutoka ujerumani kama 50 hivi...walikuwa wanajiandaa wakiogopa kuvamiwa na iran wakati wowote...israel serve many in the middle east kumbe!
   
 14. Zak Malang

  Zak Malang JF-Expert Member

  #14
  Jun 13, 2010
  Joined: Dec 30, 2008
  Messages: 5,410
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0

  Hii propaganda ya Iran kuvamia nchi za Kiarabu inakuzwa na Marekani kutokana na Jewish lobby na wengi wanaingia mtegoni pamoja na baadhi ya nchi za Kiarabu hasa Gulf zile za Gulf. Viongozi(wafalme) wa nchi hizi -- kwa hofu ya kun'golewa madarakani iwapo Marekani itasisitiza kuwepo demokrasia ya kweli -- wanaamini kuwa wanatawala nchi zao si kutokana na ridhaa ya wananchi au Mwenyezi Mungu, bali ridhaa ya Wazungu.

  Tuwe wakweli hapa: Kwa muda wa zaidi ya karne mbili hivi, Iran haijaivamia nchi yoyote katika eneo hilo. Lakini tazama ni nchi zipi zilizowahi kuvamia nchi nyingine katika eneo hilo, tena kwa kipindi cha takriban miaka 50 iliyopita:  1. Israel iliivamia Misri (Sinai) (1956 katika mgogoro wa Suez).

  2. Israel iliivamia Misri, Jordan na Syria (1967)

  3. Israel iliivamia Lebanon ya kusini (1982)

  4. Iraq iliivamia Iran (1981 in the 8 yr war)

  5. Iraq iliivamia Kuwait (1990)

  6. Marekani iliivamia Afghanistan (2001)

  7.Marekani iliivamia Iraq (2003)

  8. Israel iliivamia tena Lebanon ya Kusini (2005)

  9. Israel iliivamia Gaza (2009)

  Naomba mtu anipe data Iran iliivamia nchi ipi katika kipindi hicho. Labda linaweza kutajwa tukio moja la mwaka 1972, wakati wa Shah (swahiba mnkubwa wa Marekani).

  Marekani ilimuagiza Shah kuvitwaa visiwa viwili vidogo (vilivyokuwa chini ya UAE) katika mlango bahari wa Gulf Sea (Straits of Hormuz) ambavo Marekani iliona ni strategic ili kulinda eneo la bahari kunakopita meli nyingi za mafuta kutoka Iran, Iraq Saudi Arabia, Qatar na Bahrain. Lakini kutwaliwa kwa visiwa hivyo hakukuwa wa umwagaji wa damu yoyote. UAE ililalmika sana kuhusu hatua hiyo lakini haikusikilizwa na Marekani wala na shah wa Iran.

  Hili swala la sasa la Iran kuwa na nia ya kuzivamia nchi za Kiarabu lengo lake ni nchi hizo kutishika ili zinunue zana za kivita toka Magharibi ambazo zimedoda kuuzwa kwa nchi nyingine zenye matatizo ya kiuchumi -- isipokuwa nchi za Kiarabu zenye hela nyingi. Mfano ni huo uliuotajwa na mchangiaji mmoja wa ndege 50 kutoka Ujerumani.
   
 15. Lukolo

  Lukolo JF-Expert Member

  #15
  Jun 13, 2010
  Joined: Dec 2, 2009
  Messages: 5,137
  Likes Received: 76
  Trophy Points: 145
  Hivi kosa la Iran ni nini? Haijagombana na mtu wala haijamtafuta mtu. Ninachojua, chokochoko zote dhidi ya Iran zilianzishwa na Bushi akiitaka isiweke kile kituo cha Nuclear ambacho Iran ilideclare kabisa kwamba ni kwa sababu ya kuzalishia umeme. Sasa shida ya Iran ni nini? Unapokwenda kuimwagia mvua ya mabomu Iran, atakayekufa ni nani kama siyo mwananchi wa kawaida kama mimi na wewe? Au hatukumbuki yale ya Iraq? Kama Iran haijatangaza ugomvi na mtu, na kama dunia ina amani kuna sababu gani ya kwenda kuwaua raia wasiokuwa na hatia? Haka kaisrael, kuwa tu kataifa teule ka Mungu basi ishakuwa shida, kasumbufu kama nini? Sijui kwanini Hitler aliwabakiza hawa? Bora angewamaliza kabisa.
   
 16. U

  Ubungoubungo JF-Expert Member

  #16
  Jun 13, 2010
  Joined: Jul 28, 2008
  Messages: 2,508
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  maneno ya ahmadinejed rais wa iran ya kufutwa kwenye ramani ya dunia taifa la israel, maneno yake ya kudeny holocost etc ndio chanzo..pia, iran ni threat kwa waarabu wengine wa kisuni na huu ni mgogoro wao wa muda mrefu....wao hasa ahmadinejed anaamini kuwa, kuna kitu fulani kinaitwa mahdi ambacho wasuni hawaamini hivyo..kitakachotokea iran kama masihi...na yeye anasemekana kuwa ndiye anayetaka kuwa mahdi atakayetokea kama masihi...

  pia iran imekuwa na mpango wa kutafuta nuke ili kuwafuta wayahudi kwenye ramani ya dunia,,..ukikumbuka mwaka 2007 walisponsor kinu cha nuke syria, israel wakabom...pia wametoa misile kibao kwa hezbolah na hamas ili kurushwa kwa raia wa israel....hiyo ni provocation tosha..kama wanao uwezo wa kusupply rockets kwa hezbolah na hamas zilizoisumbua sana kwa muda mrefu..je kama hizo rockets zingekuwa za nuke israel ingekuwa wapi? ndio maana wanaona kuwa wako kwenye threat kama hawatawafulilia mbali iran na nuke yao..na international community inaona kuwa israel ina legitimate reasons to do so kutokana na matendo ya iran kwa hezbolah na hamas, pia kwa maneno ya rais wao asiye na hekima....
   
 17. M

  M-Joka JF-Expert Member

  #17
  Jun 13, 2010
  Joined: Dec 13, 2007
  Messages: 308
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Hii inawezekana kuwa ni kweli au si kweli.

  Ni kweli tofauti ipo kubwa baina ya Shiism na Sunni wal-Jamaa, lakini tofauti hii ni katika itikadi (Aqeeda) kama ilivyo tofauti na dini nyengine zenye ushirikina kama vile Christianity (Kusema Mwenyezi Mungu ana mtoto, na mtoto naye ni Mungu), Budhism (kumuabudu Budha Gautama au kumuabudu Mwenyezi Mungu kupitia Budha), Hinduism, nk, nk. Ama kwa upande wa madhehebu yaliyopotea katika dini ya kiislamu basi yapo mengi kama anavyosema Mtume SAW kwamba: Uma huu utagawika katika mafungu 73 (kumbuka Wansara 72, na Mayahudi 71) na yoooote yataingia motoni isipokuwa kundi moja tu, na alipoulizwa Mtume ni kundi gani hilo akajibu kwamba ni kundi lile litakalofuata njia yake (Sunna) na utekelezaji wa Masahaba zake.

  Hata hivyo ni kinyume na Sunna wal-Jamaa kumkurupukia tu mtu au Taifa kwa mashambulizi, au kushirikiana na makafiri katika kumshambulia mtu pasipo na ugomvi wenye vyanzo vya aina mbili kubwa:
  1. Kukithiri kwa watu au Taifa lile katika kuleta fitina katika ardhi/ulimwengu mbele ya macho(reach) ya khilafa ya kiislamu.
  2. Kudhulumiwa kunakopelekea waislamu kubidi kujihami kimaisha, mali.

  Sasa hapa liko yako wapi haya??? Ubungoubungo ndugu yangu hii wanayoifanya waSaudi kama ni kweli, basi sio WEMA wala si kwasababu ya kuwa wao ni Sunni (japokuwa ni Sunni) au ndio kusema kwamba Sunni wal-Jamaa inafundisha hivyo, laa hasha!!!!. WANAFANYA HIVYO KWASABABU WAO NI MA-PUPPET WA ZIONISISTS NA WAMAGHARIBI NA WAPUMBAVU TU, lifahamu hilo. Ni watu Na huu u-puppet kwa mabwana zao waMagharibi na upumbavu walionao ndio huo huo inayowafanya wao:
  1. Kuwafunga jela na kuwatesa maelfu ya wasomi wa dini hii (Sunni wa-Jamaa) ili kupunguza kasi na nguvu ya dini hii ili kuwafurahisha hao mabwana zao (Wazayuni na WaMagharibi)
  2. Kujaza maelfu ya wanajeshi wa Marekani (najisi) katika ardhi takatifu ya Hijazi, ili kuendelea kulindwa wakati wanaharibu mali ya waislamu.
  3. Kutokuweza kufanya lolote isipokuwa kwa approval ya mabwana zao wakati waislamu wanadhulumiwa na kuuliwa. Isitoshe wanapotokea vijana shupavu (Mujaahiduun) kuondoka na kwenda kuwetetea ndugu zao wakiislamu wanaodhulumiwa katika sehemu mbalimbali za ulimwengu, wao huwafutia uraia wao na kuwafanya hawana kwao au kuwakamata na kuwafunga wanaporudi katika nchi yao.

  Kwa hiyo Ubungoubungo hapa hapana WEMA wala uSunni walJamaa, bali pana u-puppet na upumbavu, kundi moja lile lile na uZayuni, uYahudi wa kimagharibi na u-brainwash mentality wa watu wengine waliojawa na propaganda zao, haina haja ya kukutajeni.
   
 18. m_kishuri

  m_kishuri JF-Expert Member

  #18
  Jun 13, 2010
  Joined: Jan 27, 2010
  Messages: 1,489
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  There is no wait and see in the Middle East. The World must learn to live with a Nuclear Iran.
   
 19. U

  Ubungoubungo JF-Expert Member

  #19
  Jun 13, 2010
  Joined: Jul 28, 2008
  Messages: 2,508
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  kwahiyo mtume wako, aliyekuwa ameoa wake wengi, wengine wenye miaka tisa, hakuna proof yoyote kuwa alikuwa mtu wa Mungu au alikuwa anatumiwa na aina ingine ya miungu..akiongea kitu wewe tayari umeshajustify kuwa alikuwa anaongea na Mungu aliyeumba mbingu na nchi?...unajuaje pengine alikuwa anaongea na shet'wan?....

  kwa habari ya uislam...saudi arabia inawagopa sana iran...hivyo hivyo kwa misri, jordan etc...we fikiria hata Turkey ambao walitunguliwa juzi kwenye meli ya wana harakati, ndo hao hao walitoa nafasi ya ardhi yao ili Israel wakilipue kinu cha nuke cha syria mwaka 2007....we fikiria Saudia ambako ni nchi ya kiislam kuliko zote, na ndo kwenye kaburi la mtume....sehemu ambako vitabu vinavyowataja waisraek kama "MAYAHUDI", wameruhusu israel kutumia anga lao kupitisha mashambulizi dhidi ya waislam wenzao...what do you think about that?...mmegawanyika,mmeisha, kwishnei...kilichobaki ni kuwafutilia mbali tu na iran yenu (axis of evil)...
   
 20. M

  Mkabera JF-Expert Member

  #20
  Jun 13, 2010
  Joined: Jul 21, 2009
  Messages: 267
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 45


  Rais wao Irani anasema ukweli na anawakumbusha Mayahudi walichokifanya na kuwakumbusha kuwa sio wao tu ndio binadamu. Wasitese watu kama wanavyodai wao waliteswa na Hitler.
  Israel ni nchi pekee duniani juu ya sheria. Umoja wa Mataifa either umetoa Amri uamuzi na hakuja hata moja iliyotimizwa. Madhali inaongoza America through Jewish Lobby haina haraka ya kuheshimu UN resolution yoyote. Na hiyo media, magazeti,TV zao ndio zinapeleka huu unafiki. Hizo nuclear ni haki ya Israel lakini sio Irani?
  Kitachotafutwa ni "devide and rule" !
   
Loading...