Barbarosa
JF-Expert Member
- Apr 16, 2015
- 22,584
- 27,817

Siku zote nilifikiri kwamba Mekka ni haki ya kila Muislamu kumbe ni mali ya Ufalme wa Saudia na yeye (Saudia) ndiyo anaamua nani aende Mekka kuhiji na nani asiende! Duh! kweli hizi dini bhana saa nyingine zinachaganya sana!
Sasa hayo maamuzi ya Saudia ndiyo maamuzi ya Mungu? Yaani Ufalme wa Saudia unamuwakilisha Mungu?