Wana roho mbaya sanaWaarabu sio watu kabisaa
Kufanya kazi kwa mwarabu ni sawa na kuuza utu wako. Jamaa wanakuona kama ndezi vile
Norway, na ushahidi ninao.Wapi ambako wewe kama Mwafrika mweusi utafanya kazi za ndani na usinyanyasike? Nitajie sehemu moja tu!
Norway, na ushahidi ninao.
Wewe una tatizo, vipi unakuwa mbaguzi kuituhumu jamii nzima, kila kabila, dini na taifa kuna watu wazuri, wabaya, makatili nk. Huwezi kusema waarabu wote makatili na wengi mnaotoa kauli kama hizi inaonyesha hamujawahi kufika huko Uarabuni.waarabu ni makatili mno wanajua kuwanyanyasa ndg zetu wanaokwenda kuwatumikisha huko bila kujali kuwa wao wanatumia nguvu na hawawalipi bure inasikitisha sana tena ni wengi wao wachache sana ndio wana utu.
Soma vizuri comment yangu hasa kipengele cha mwisho kabla hujaangusha tuhuma natumaini una.macho mazuri tuWewe una tatizo, vipi unakuwa mbaguzi kuituhumu jamii nzima, kila kabila, dini na taifa kuna watu wazuri, wabaya, makatili nk. Huwezi kusema waarabu wote makatili na wengi mnaotoa kauli kama hizi inaonyesha hamujawahi kufika huko Uarabuni.
NAfikiri hujaelewa maada vizuri, issue sio kiasi cha pesa unacho lipwa; issue ni namna gani ubinadamu unafanywa kwa mtu mweusi. Ki ukweli, Waarabu hawan UTU unapofikia issue ya mtu mweusi.Uweke huwo ushahidi hapa! Kwa maana kama ni kusema tu hata mimi ninafahamu Waafrika weusi wengi tu wanaofanya kazi Uarabuni kuanzia UAE mpaka Saudia na wanaishi vizuri wana maendelo na wanasaidia ndugu zao hapa nyumbani!
saying kind of slavery is entirely an understatement. Those people are brutal and inhumane. It is so sad that they are the custodians of the holy land coz their acts are completely contrary to the Islamic teaching.I say, I know some will say it is work, but I would rather my people look for other types of work. Domestic work in the Middle East is a kind of slavery. One enjoys no rights and abuses are common place.
NAfikiri hujaelewa maada vizuri, issue sio kiasi cha pesa unacho lipwa; issue ni namna gani ubinadamu unafanywa kwa mtu mweusi. Ki ukweli, Waarabu hawan UTU unapofikia issue ya mtu mweusi.
Mkuu usipotoshe. Professional jobs, nitakubaliana na wewe, lakini kazi za ndani siyo kweli. Nimekaa Sharjah na Doha hakuna mfanyakazi za ndani mweusi utakayekutana naye asirgret. Jamii ya Waarabu na Wahindi huwa wanatuona siye kama siyo watu. Kama wewe ni Muarabu useme tu kuwa unawatetea ndugu zako, lakini ukweli wenyewe ndio huo.Uweke huwo ushahidi hapa! Kwa maana kama ni kusema tu hata mimi ninafahamu Waafrika weusi wengi tu wanaofanya kazi Uarabuni kuanzia UAE mpaka Saudia na wanaishi vizuri wana maendelo na wanasaidia ndugu zao hapa nyumbani!
Bora hata wangekuwa wanawalipa basi. Nina ushahidi kabisa wa binti wa kikenya aliekwenda na kunyang'nywa passport yake, mshahara hakupewa mwaka mzima kwa kisingizio cha kulipia ticket iliyompeleka na mbaya Zaidi baba mwenye nyumba alikuwa akimuingilia kinyume na maumbile ilhali mama anajua. Salama yake ilikuwa ni kutoroka siku moja waliposahau kumfungia. Alirudi Mombasa na nguo yake ya mwilini tu. Jamaa wana roho mbaya isiyomithilika.waarabu ni makatili mno wanajua kuwanyanyasa ndg zetu wanaokwenda kuwatumikisha huko bila kujali kuwa wao wanatumia nguvu na hawawalipi bure inasikitisha sana tena ni wengi wao wachache sana ndio wana utu.