Saudi crown prince hosts Christian evangelicals

dudus

dudus

JF-Expert Member
Joined
Feb 28, 2011
Messages
10,569
Points
2,000
dudus

dudus

JF-Expert Member
Joined Feb 28, 2011
10,569 2,000
Habari ndio hiyo ... hutaki unaacha!
============================

Riyadh (AFP) - Saudi Arabia's crown prince hosted a delegation of American Christian evangelicals on Tuesday, state media said, the latest such visit as the conservative Muslim kingdom seeks to repair its image of religious intolerance.

The visit comes on the eve of the anniversary of the September 11, 2001 terrorist attacks in the United States, in which most of the hijackers who crashed jetliners into the twin towers in New York were identified as Saudi nationals.

Crown Prince Mohammed bin Salman met the delegation, led by Israeli-American author Joel Rosenberg, at his palace in the western city of Jeddah, the official Saudi Press Agency said.

"Honoured to be back in kingdom of Saudi Arabia for (the second) time in less than a year," Rosenberg said on Twitter.

"We met (with) his royal highness the crown prince (and) other senior officials to discuss terrorism, peace, religious freedom and human rights."

The delegation also met Prince Khalid bin Salman, the kingdom's deputy defence minister, and secretary-general of the Muslim World League Mohammed al-Issa, SPA reported.

The crown prince hosted a similar delegation led by Rosenberg that travelled last November to Saudi Arabia, which is home to Islam's holiest sites in Mecca and Medina and where the practice of other religions is banned.

Saudi leaders have courted a flurry of representatives of various Christian traditions in recent months.

In April 2018, Saudi Arabia hosted French Cardinal Jean-Louis Tauran, who headed the Vatican's Pontifical Council for Interreligious Dialogue. Tauran, who died in July 2018, was seen as an energetic promoter of dialogue between the Catholic Church and Islam.

And in November 2017, the head of Lebanon's Maronite church, Beshara Rai, paid an official visit to Saudi Arabia where he met King Salman and Prince Mohammed.

Prince Mohammed, the heir to the Saudi throne, has sought to project a moderate image of his austere kingdom, often associated in the West with jihadist ideology.

The self-styled reformer has faced global criticism for the kingdom's poor human rights record including the jailing of political activists and critics.

Source: https://news.yahoo.com/saudi-crown-prince-hosts-christian-evangelicals-213328290.html
 
Bongolander

Bongolander

JF-Expert Member
Joined
Jul 10, 2007
Messages
4,993
Points
1,500
Bongolander

Bongolander

JF-Expert Member
Joined Jul 10, 2007
4,993 1,500
Hii kama ni kweli inaweza kuwa maajabu ya karne hii! Na inawezekana huu ni mwanzo wa mwisho wa MBS
 
dudus

dudus

JF-Expert Member
Joined
Feb 28, 2011
Messages
10,569
Points
2,000
dudus

dudus

JF-Expert Member
Joined Feb 28, 2011
10,569 2,000
Bila picha?
... ni matukio machache mno yanapigwa picha huko Saudia tena kwa kibali maalumu. Uhuru wa media sio kivile katika nchi ambayo kila kitu kinadhibitiwa na serikali.
 
dudus

dudus

JF-Expert Member
Joined
Feb 28, 2011
Messages
10,569
Points
2,000
dudus

dudus

JF-Expert Member
Joined Feb 28, 2011
10,569 2,000
Hii kama ni kweli inaweza kuwa maajabu ya karne hii! Na inawezekana huu ni mwanzo wa mwisho wa MBS
... ukisoma hiyo habari vizuri inaonesha sio delegation ya kwanza ya aina hiyo ku-visit Saudi Arabia kwa siku za karibuni. Mabadiliko yakija hayazuiliki; mdogo mdogo hata kama itachukua miaka utayakubali tu!
 
Bongolander

Bongolander

JF-Expert Member
Joined
Jul 10, 2007
Messages
4,993
Points
1,500
Bongolander

Bongolander

JF-Expert Member
Joined Jul 10, 2007
4,993 1,500
... ukisoma hiyo habari vizuri inaonesha sio delegation ya kwanza ya aina hiyo ku-visit Saudi Arabia kwa siku za karibuni. Mabadiliko yakija hayazuiliki; mdogo mdogo hata kama itachukua miaka utayakubali tu!
Mkuu nimeshangaa sana kujua kuwa Israel na Saudia zina uhusiano wa karibu kuliko wengine tunavyofikiri, inawezekana kuna mengi yanaendelea sisi hatujui.
 
Mibas

Mibas

JF-Expert Member
Joined
Apr 3, 2012
Messages
3,013
Points
2,000
Mibas

Mibas

JF-Expert Member
Joined Apr 3, 2012
3,013 2,000
Uhusiano wao ulianza kkla mmoja wao alipoona hawezi kumkabili Iran pekeake. Ingawa hata baada ya kua na ushirikiano wa karibu bado wanasita kufanya lolote dhidi ya Iran.
 
Elungata

Elungata

JF-Expert Member
Joined
Jan 28, 2011
Messages
31,981
Points
2,000
Elungata

Elungata

JF-Expert Member
Joined Jan 28, 2011
31,981 2,000
mimi hapo sioni ubaya,tatizo langu hawa evangelist wanajua kabisa kuwa jamaa ni killer,halafu wanamwita his highnes,MBS is a murder,Headchopping crown prince,
 
Yamakagashi

Yamakagashi

JF-Expert Member
Joined
Sep 19, 2016
Messages
8,402
Points
2,000
Yamakagashi

Yamakagashi

JF-Expert Member
Joined Sep 19, 2016
8,402 2,000
mimi hapo sioni ubaya,tatizo langu hawa evangelist wanajua kabisa kuwa jamaa ni killer,halafu wanamwita his highnes,MBS is a murder,Headchopping crown prince,
Ni kiongozi yupi aliyeko madarakani ambaye haui ?

Nitajie wawili tu
 
dudus

dudus

JF-Expert Member
Joined
Feb 28, 2011
Messages
10,569
Points
2,000
dudus

dudus

JF-Expert Member
Joined Feb 28, 2011
10,569 2,000
mimi hapo sioni ubaya,tatizo langu hawa evangelist wanajua kabisa kuwa jamaa ni killer,halafu wanamwita his highnes,MBS is a murder,Headchopping crown prince,

... His Highness, His Holiness, Her Majesty, His Excelency, et. al. ni salutation tu mazee regardless tabia ya mhusika bali kwa heshima ya nafasi au cheo alicho nacho katika nchi, jamii, au kundi analoliongoza.
 
Consigliere

Consigliere

JF-Expert Member
Joined
Sep 9, 2010
Messages
10,066
Points
2,000
Consigliere

Consigliere

JF-Expert Member
Joined Sep 9, 2010
10,066 2,000
Uhusiano wao ulianza kkla mmoja wao alipoona hawezi kumkabili Iran pekeake. Ingawa hata baada ya kua na ushirikiano wa karibu bado wanasita kufanya lolote dhidi ya Iran.
Wewe jamaa na hao Iran wako!! Kuna siku utabebewa mke utaendelea kudai umeporwa kuwa hampo Iran.
 
Smart911

Smart911

JF-Expert Member
Joined
Jan 3, 2014
Messages
32,471
Points
2,000
Smart911

Smart911

JF-Expert Member
Joined Jan 3, 2014
32,471 2,000
Ahsante kwa taarifa...


Cc: mahondaw
 
N

Nyanjomigire

JF-Expert Member
Joined
Jan 28, 2013
Messages
4,050
Points
2,000
N

Nyanjomigire

JF-Expert Member
Joined Jan 28, 2013
4,050 2,000
Sidhani kama Iran inahusika hapa. Unless mtu awe mbali na fahamu zake.
 

Forum statistics

Threads 1,335,186
Members 512,261
Posts 32,498,378
Top