Saudi Arabia yatoa msaada MOI

Saudi Arabia yatoa msaada MOI

Kwa hili nakubaliana nawe!! Tunafurahia ujio wa vifaa vya $150,000 kuwa sasa vifo vitapungua. Tunashindwa kwenda mbele zaidi na kujiuliza haya:
a) Je ni kweli hatuna uwezo wa kupata hizo $150,000 katika hazina yetu wenyewe??
b) Je kuokoa maisha ya watoto si swala la msingi kuliko kutumia mabilioni kufanya sherehe za kiserikali?
c) Je mgeni anapataje kujua matatizo yetu ya ndani na kuyatatua kabla yetu kwa fedha za aibu kiasi hiki??


Kwa walio na wajibu wa kifamilia, utajisikiaje mgeni akikutembelea lakini baada ya siku kadhaa siku moja akaja na kilo ya nyama, sukari, unga wa ngano nk?? Na sababu ni kuwa hitu hivo havipatikani nyumbani kwako!!

Taifa linafikia low point kiasi hiki kweli?? Tupate misaada ya kujengewa barabara kwa mamilioni ya dola, kweli na hata $150,000???

Tatizo ni vipaumbele!
 
wameanza kuiga ukristo kwa kutoa misaada hongera saudia.
 
Tena ni $140,000 ambazo si zaidi ya m240 za ki Tz= pesa ya V8 moja.. ziko V8 ngapi hapa Tz? huu ndo msaada kweli?jamani!
 
Tena ni $140,000 ambazo si zaidi ya m240 za ki Tz= pesa ya V8 moja.. ziko V8 ngapi hapa Tz? huu ndo msaada kweli?jamani!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom