Nilichokiona ni kuwa si kwa tukio hili tu, bali matukio yote... Ulivyoiweka utadhani walishawahi shusha nusu mlongoti. Ni jambo linalojulikana na kila mtu .
Saudi Arabia
The flag of Saudi Arabia is never flown at half-mast.
The flag of Saudi Arabia is one of two flags in the world that are never flown at half-mast because it shows the shahadah. The other flag is the Flag of Somaliland. Since both bear the concept of oneness of God, the flag is never lowered to half-mast even as a sign of mourning, despite the fact that many other Muslim countries observe the official mourning of deceased Saudi kings by lowering their own national flags.
Nilichokiona ni kuwa si kwa tukio hili tu, bali matukio yote... Ulivyoiweka utadhani walishawahi shusha nusu mlongoti. Ni jambo linalojulikana na kila mtu .Baada ya kifo cha aliyekuwa rais wa Afrika ya Kusini na mwanaharakati maarufu Nelson Mandela nchi nyingi duniani zimeamua kupeperusha bendera zao nusu mlingoti ishara ya kuguswa na kifo cha mwanaharakati huyu mandela katika kuwakomboa watu weusi kutoka minyororo ya ubaguzi na unyanyasaji. Hata hivyo pamoja na Saudia Arabia kuutambua mchango wa Nelson Mandela katika harakati za ukombozi lakini imekataa kushusha bendera yake na kupepea nusu mlingoti kwasababu bendera hiyo imeandikwa maneno ya Mwenyezi Mungu(LAAILAHAILLAH MUHAMMAD RASULULLAH) na kamwe haiwezi kushushwa hata akifa mfalme wao.
Binafsi naupongeza msimamo huu with due respect kwa mwaharakati huyu lakini si haki kushusha bendera yenye maneno ya Mungu kwa kifo cha binadamu.
Naomba kuuliza:Baada ya kifo cha aliyekuwa rais wa Afrika ya Kusini na mwanaharakati maarufu Nelson Mandela nchi nyingi duniani zimeamua kupeperusha bendera zao nusu mlingoti ishara ya kuguswa na kifo cha mwanaharakati huyu mandela katika kuwakomboa watu weusi kutoka minyororo ya ubaguzi na unyanyasaji. Hata hivyo pamoja na Saudia Arabia kuutambua mchango wa Nelson Mandela katika harakati za ukombozi lakini imekataa kushusha bendera yake na kupepea nusu mlingoti kwasababu bendera hiyo imeandikwa maneno ya Mwenyezi Mungu(LAAILAHAILLAH MUHAMMAD RASULULLAH) na kamwe haiwezi kushushwa hata akifa mfalme wao.
Binafsi naupongeza msimamo huu with due respect kwa mwaharakati huyu lakini si haki kushusha bendera yenye maneno ya Mungu kwa kifo cha binadamu.
Weka Picha!!! Alaaa!!!
Baada ya kifo cha aliyekuwa rais wa Afrika ya Kusini na mwanaharakati maarufu Nelson Mandela nchi nyingi duniani zimeamua kupeperusha bendera zao nusu mlingoti ishara ya kuguswa na kifo cha mwanaharakati huyu mandela katika kuwakomboa watu weusi kutoka minyororo ya ubaguzi na unyanyasaji. Hata hivyo pamoja na Saudia Arabia kuutambua mchango wa Nelson Mandela katika harakati za ukombozi lakini imekataa kushusha bendera yake na kupepea nusu mlingoti kwasababu bendera hiyo imeandikwa maneno ya Mwenyezi Mungu(LAAILAHAILLAH MUHAMMAD RASULULLAH) na kamwe haiwezi kushushwa hata akifa mfalme wao.
Binafsi naupongeza msimamo huu with due respect kwa mwaharakati huyu lakini si haki kushusha bendera yenye maneno ya Mungu kwa kifo cha binadamu.
Hayo maneno ya nasema Hakuna Mungu zaidi ya mmoja tu, na Mtume Muhamamd ni The Messenger of God.Naomba kuuliza:
1.hayo maneno kwenye bendera maana yake ni nini?
2.hayo maneno yamechapishwa hapa duniani na binadamu au mbinguni na Mungu?
3.je bendera yenye hayo maneno ikipepea nusu mlingoti itakuwa inaleta tafsiri gani kwenye imani husika?
5.Je hao saudi arabia huwa wana utaratibu gani wa kiishara kuonesha maombolezo? Labda watumie huo utaratibu mwingine kama upo!
Bendera ya mtume Muhammad, haita shuka chini hata siku moja.
Hivi ile ni bendera ya mtume Muhammad au ya nchi ya Saudi Arabia.....??? Isije ikawa tunaongelea vitu tofauti hapaBendera ya mtume Muhammad, haita shuka chini hata siku moja.
Makaburu ndiyo wawekezaji wakubwa Tanzania unasemaje kwa hilo.Saudi Arabia ni nchi ya ajabu sana wakati dunia nzima ilikuwa inaiwekea vikwazo afrika ya kusini ili iache ubaguzi Saudi arabia iliendelea na uhusiano wa kibiashara na makaburu.
Mwafrika kwa mwarabu ni kama mbwa tu.Lakini ngoja aguswe mwarabu awe na mmarekani au nani sijui palestina utakuta wanapiga kelele wanataka dunia nzima na misikiti hadi ya kwetu uswahilini tuunge mikono na tuandamane kulaanimtu aliyemwonea mwarabu mwislamu .Wanataka kwenye misiba yao tutoke wakati kwenye misiba yetu hawaji.
Hizi tabia hata waarabu walioko Tanzania wana tabia hizo hizo hawatoki misiba ya waswahili.Lakini akifa mwarabu wanataka tangazo la msiba litangazwe kila kipaza sauti cha msikiti.
Hio ni bendera orignal ya mtume Muhammad, na Saud Arabia kaweka panga tu chini yake ndio ikawa inaitwa bendera ya Saud Arabia. Kwa hio siku zote sisi tunatazama wewe ni orignal mtoto wa nani, hatutazami nani aliye kulea.Hivi ile ni bendera ya mtume Muhammad au ya nchi ya Saudi Arabia.....??? Isije ikawa tunaongelea vitu tofauti hapa