Saudi Arabia yagoma kupeperusha bendera nusu mlingoti kwa kifo cha Mandela

Status
Not open for further replies.
Wakristo msahau kwenda peponi, labda mbahatike kuwa waislam, kabla hamjafa. Ingekuwa kila anaye fanya mazuri anaenda peponi ingekuwa hakuna haja ya kufata mafunzo ya Prophet Ibrahim na Prophet Muhammad.
peponi kwenye mapepo wa chafu nyie mnayoita majini wema,kwa kina makata,maimmuna nawengineo..ndo unamaanisha huko!??nenda mwenyewe mie ntakuwa paradiso ya milele huko ambako hakuna njaa,hakuna chuki,hakuna magonjwa,hakuna vifo
 
Saudia Arabia imekataa kushusha bendera yake na kupepea nusu mlingoti kwasababu bendera hiyo imeandikwa maneno ya Mwenyezi Mungu(LAAILAHAILLAH MUHAMMAD RASULULLAH) na kamwe haiwezi kushushwa hata akifa mfalme wao.

Hivi hiyo bendera huwa haishushwi? Bendera zetu zinapandishwa asubuhi na kushushwa jioni Yao ikipanda haitelemki milele? Je ikipandishwa haishushwi iwe kwa kufuliwa au sababu yeyote ile hadi ichakalia huko huko juu ya mlingoti? Ina maana ikishushwa mfano jioni kama tunavyoshusha bendera yetu maneno ya Allah yanakuwa yameshushwa?
 
hakuna baya ni taratibu Zhao.. kupepea nusu mlingoti hakuongezi wala kupunguza kitu
 
kwanza hakuna mtu mbaya kama mwarabu kila alipo tia maguu kaacha laana,kwanza jamii nzima ya wavivu na ombaomba,watu wa chuki na majungu..jaribu kutazama mijii alio kaa mwarabu utagundua

endelea kuziba viraka kwa pasi
 
Hivi hiyo bendera huwa haishushwi? Bendera zetu zinapandishwa asubuhi na kushushwa jioni Yao ikipanda haitelemki milele? Je ikipandishwa haishushwi iwe kwa kufuliwa au sababu yeyote ile hadi ichakalia huko huko juu ya mlingoti? Ina maana ikishushwa mfano jioni kama tunavyoshusha bendera yetu maneno ya Allah yanakuwa yameshushwa?

Ha, mkuu mbona kama umepoteza sense of vision? Kuishusha kwa ajili ya kufuliwa na kuishusha kwa kumheshimu mtu ni mambo mawili yasioendana.
 
Sio lazma af we hayakuhusu...kitu kingine mbona sijaona jina la mungu nimeona la( MUHAMMAD).
 
Wakristo msahau kwenda peponi, labda mbahatike kuwa waislam, kabla hamjafa. Ingekuwa kila anaye fanya mazuri anaenda peponi ingekuwa hakuna haja ya kufata mafunzo ya Prophet Ibrahim na Prophet Muhammad.

kwa sababu wewe Mwenyezi Mungu umenena;naam na iwe hivyo!!
 
Baada ya kifo cha aliyekuwa rais wa Afrika ya Kusini na mwanaharakati maarufu Nelson Mandela nchi nyingi duniani zimeamua kupeperusha bendera zao nusu mlingoti ishara ya kuguswa na kifo cha mwanaharakati huyu mandela katika kuwakomboa watu weusi kutoka minyororo ya ubaguzi na unyanyasaji. Hata hivyo pamoja na Saudia Arabia kuutambua mchango wa Nelson Mandela katika harakati za ukombozi lakini imekataa kushusha bendera yake na kupepea nusu mlingoti kwasababu bendera hiyo imeandikwa maneno ya Mwenyezi Mungu(LAAILAHAILLAH MUHAMMAD RASULULLAH) na kamwe haiwezi kushushwa hata akifa mfalme wao.
Binafsi naupongeza msimamo huu with due respect kwa mwaharakati huyu lakini si haki kushusha bendera yenye maneno ya Mungu kwa kifo cha binadamu.

Udini at work…hakuna kitu kbaya hapa duniani kama ushabiki wa kidini. Sasa hapa ndiyo unamaanisha nini?
Alafu nyinyi ndiyo mmemwaribu THE BIG SHOW na mitazamo yenu ya kidini dini.
 
Mimi sioni kama ni issue sana kama Saudi Arabia hufanya hivyo siku zote. Sio lazima kila mtu afanye tunavyofanya wengine ili mradi heshima yao na kuguswa na kifo hiki cha shujaa wa dunia iko pale pale.

Hata hivyo bendera ni alama tu ya nchi na mamlaka yake, hakuna Mungu anayekaa kwenye bendera!
 
Udini at work…hakuna kitu kbaya hapa duniani kama ushabiki wa kidini. Sasa hapa ndiyo unamaanisha nini?
Alafu nyinyi ndiyo mmemwaribu THE BIG SHOW na mitazamo yenu ya kidini dini.

Hahahaha sasa kosa langu nini hapo? Nijuavyo ili uwe mdini lazima ufikiri kidinidini bila shaka wewe ni mdini.
 
kwenye conclusion yako umekosa busara umejibu kama hayawani ukiwa na chuki za wazi katika watu/mtu wadini fulani,kaa ukijua hata miongozo mingine ya kidunia inayotufanya kuwa pamoja ni amri inayotoka kwa Mungu,tatizo linakuja kuuamisha umma mzima kwa kila unachokiamini wewe ni sahihi kuliko ,bila kutanguliza mbele heshima kwa walio tofauti na imani yako..
Hayawani ni wewe unaye abudu binadamu na kusema Mungu, mnadhani Mungu ni wakuchezeawa, ngojeni tu siku mkifa ndio matajua kama Mungu hafananishwi wala hachezewi wala hataniwi, kama mtakufa si waislam mtaishia motoni tu [2:136] Say (O Muslims): "We believe in Allah and that which has been sent down to us and that which had been sent down to Abraham, Ishmael, Isaac, Jacob and to Al Asbat (the twelve sons of Jacob), and that which has been given to Moses and Jesus and that which has been given to the Prophets from their Lord. We make no distinction between any of them, and to Him we have submitted (in Islam)."

kwa sababu wewe Mwenyezi Mungu umenena;naam na iwe hivyo!!
Haha sio mimi naye sema hayo afu wacha kunita mimi ni Mungu, mmezowea kuwazulia binadamu uwongo kama mlivyo mzulia Yesu sasa mnataka na mimi niwe Mungu wenu hahaha.

"If anyone desires a religion other than Islam (submission to Allah (God) never will It be accepted of Him" (Surah Aal'imraan 3:85)
"Abraham was not a Jew nor Christian; but an upright Muslim."
(Surah Aal'imraan 3:67)
 
Saudi Arabia ni nchi ya ajabu sana wakati dunia nzima ilikuwa inaiwekea vikwazo afrika ya kusini ili iache ubaguzi Saudi arabia iliendelea na uhusiano wa kibiashara na makaburu.

Mwafrika kwa mwarabu ni kama mbwa tu.Lakini ngoja aguswe mwarabu awe na mmarekani au nani sijui palestina utakuta wanapiga kelele wanataka dunia nzima na misikiti hadi ya kwetu uswahilini tuunge mikono na tuandamane kulaanimtu aliyemwonea mwarabu mwislamu .Wanataka kwenye misiba yao tutoke wakati kwenye misiba yetu hawaji.

Hizi tabia hata waarabu walioko Tanzania wana tabia hizo hizo hawatoki misiba ya waswahili.Lakini akifa mwarabu wanataka tangazo la msiba litangazwe kila kipaza sauti cha msikiti.

Agiza soda nakuja kulipa
 
Hilo lao halituhusu, bendera ishushwe isishushwe Madiba kafa kafa tu, hatorudi, so whatever the case....
 
Saudi Arabia ni nchi ya ajabu sana wakati dunia nzima ilikuwa inaiwekea vikwazo afrika ya kusini ili iache ubaguzi Saudi arabia iliendelea na uhusiano wa kibiashara na makaburu.

Mwafrika kwa mwarabu ni kama mbwa tu.Lakini ngoja aguswe mwarabu awe na mmarekani au nani sijui palestina utakuta wanapiga kelele wanataka dunia nzima na misikiti hadi ya kwetu uswahilini tuunge mikono na tuandamane kulaanimtu aliyemwonea mwarabu mwislamu .Wanataka kwenye misiba yao tutoke wakati kwenye misiba yetu hawaji.

Hizi tabia hata waarabu walioko Tanzania wana tabia hizo hizo hawatoki misiba ya waswahili.Lakini akifa mwarabu wanataka tangazo la msiba litangazwe kila kipaza sauti cha msikiti.

acha unafiki wewe msikiti gani umetangaza hayo unayoyasema.akifa kafiri au mzungu taratibu hizondiyo zinafanyika utaona television zote zinatangaza wiki nzima na waislamu hawama ubaguzi wa kutangaza msikitini akifa mtu yeyote matangazo yanatoka usiongee usichokijua.naona post yako imekaa kichuki uliza usichokijua kama wenzako na naona wanajibiwa
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom