Saudi Arabia yafunga anga na mipaka yake

Saudi Arabia yafunga anga na mipaka yake

Huo
Hii gonjwa ni man made project maana wameoona mishem yao ya kwanza haijatimia.

Watu wengi maarufu kama wacheza mpira,golf maderea wa magari ya mashindano, wanasiasa wanaugua na kupona kawaida tuu na wanarudi kwenye maisha ya kawaida. Huku maelfu ya watu wakifa kwa ugonjwa huo huo.

Sasa tunaambiwa kuna ugonjwa mpya wa covid 19 (covid 20) umeibuka na umeibukia uingereza wakati wa mwanzo uliibukia China.
Chanjo yake bado ina figisu,kuna nchi wamekataa kuitumia na pia kuna habari kua wanasiasa maarufu wanaopatiwa sio yenyewe ni geresha tuu ili wananchi waikubali.
Ugonjwa Ni biashara ..hao watu maarufu wote wanaotangazwa kuwa wanahuo ugonjwa huwa ni bias tu ili wapate kuupa kick huo ugonjwa uweze kujulikana zaidi na kuendelea kuwatia hofu watu
 
Kwahiyo

Huu ugonjwa Ni made in China ..mbona pia USA inaonekana kuwa Ina mkono wake ?
Nachongangaa mpaka wananchi hawna imani kabisa na hiyo chanjo, na viongozi wanaopatiwa wanapatiwa kama propaganda hivi ili kuuaminisha dunia kua ni salama.
Raia wanaona bora kuendelea kufa kuliko kupewa chanjo
 
raia wa USA siwanawajua viongozi wao kuwa ni mashetani Hawa kawii kuwa ingiza mkenge ili mradi tu wapate maslahi

Kuwa super power sio mchezo yakupasa uwe na roho mbaya kweli kweli maslahi kwanza Utu baadae
 
Ngoja tuone awamu hii corona itafikia serias ya ngapi
 
Kwahiyo

Huu ugonjwa Ni made in China ..mbona pia USA inaonekana kuwa Ina mkono wake ?
Niliivyosikia,ila mimi sikuwepo kushuhudia,🤗🤗,US waliupandikiza china,,kisha wakaanza kuwacheka,,wachina wakapeleka US watu wenye corona lakini hawana dalili,,mission yao ilikuwa ni kukohoa na kupiga chafya za kutosha huko mitaa ya US,kisha wakasepa...
 
Ukiwa na hallucinations unaweza ukawa na perspective kama hiyo
Kwahiyo mie naweza kufikiri wewe ni binaadamu kumbe wewe ni mbuzi tu,ni hallucinations ndio hunifanya nidhani kuwa wewe ni binaadamu?
 
Kwahiyo mie naweza kufikiri wewe ni binaadamu kumbe wewe ni mbuzi tu,ni hallucinations ndio hunifanya nidhani kuwa wewe ni binaadamu?
Hata kufikiri kwako kua unaye jadiliana naye kwenye platfom kama hii mtandaoni ni binadamu tu nako kunatilia mashaka akili yako

Unajuaje kwamba unayejadiliana naye ni mtu na siyo robot tu?
 
Hata kufikiri kwako kua unaye jadiliana naye kwenye platfom kama hii mtandaoni ni binadamu tu nako kunatilia mashaka akili yako

Unajuaje kwamba unayejadiliana naye ni mtu na siyo robot tu?
Ni kweli naweza kuwa najadiliana na sokwe au hata mbwa mweusi.
 
😁😁
Niliivyosikia,ila mimi sikuwepo kushuhudia,🤗🤗,US waliupandikiza china,,kisha wakaanza kuwacheka,,wachina wakapeleka US watu wenye corona lakini hawana dalili,,mission yao ilikuwa ni kukohoa na kupiga chafya za kutosha huko mitaa ya US,kisha wakasepa...
😁😁😁 Both team score
 
Back
Top Bottom