Saudi Arabia yafunga anga na mipaka yake

Saudi Arabia yafunga anga na mipaka yake

Ni kweli naweza kuwa najadiliana na sokwe au hata mbwa mweusi.
Yote yanawezekana kwa imagination zako kupitia hallucinations zilizomo kichwani mwako

Kwa hallucination hizo zinavyokupelekesha unaweza ukaja kubaini kua unajadiliana na baba yako
 
Yote yanawezekana kwa imagination zako kupitia hallucinations zilizomo kichwani mwako

Kwa hallucination hizo zinavyokupelekesha unaweza ukaja kubaini kua unajadiliana na baba yako
Yani mbwa mweusi awe na mtoto binaadamu?
 
Desemba 20 hadi Desemba 27 hakutakuwa na ndege, meli au gari linalotoka kwenye maeneo yenye aina mpya ya #COVID19 litakaloingia Saudi Arabia.

Safari zote za ndege zimefutwa na mipaka imefungwa kwa nchi zote isipokuwa zile nchi ambazo hazijaonesha kuwa na aina mpya ya #COVID19.

Ndege zilizoko Saudia zitaruhusiwa kuondoka. Zuio hilo linakuja baada ya nchi nyingine kuweka zuio hilo baada ya COVID19 mpya kugundulika kwa mara ya kwanza kusini mashariki mwa Uingereza.

Shughuli za ndani zinaruhusiwa kwa kuzingatia miongozo ya afya kama kutumia vitakasa mikono, pia mikusanyika imeamriwa kutozidi watu 50.
lakini saudi anajiweza sio sisi tunaotegemea utalii
 
Corona ilipoanzia China na Iran, tukaambiwa US sio mchezo

US/EU walisema Iran haina mifumo mizuri ya kiafya na kuwacheka kila siku, Surprisingly kumbe wao ndo walikua mdebwedo kabisa!
 
hii inaweza kasirisha ma preachers na manabii wetu waliotuambia wameoteshwa na mungu kua corona ni curse kutoka kwa mungu

hawa majamaa walitulisha conspiracy nyingi sana walifikia hatua ya kuishutumu china kua imelaaniwa na mungu kutokana na ulaji wa popo pamoja na kuchana misaafu ya kiislamu now how?

View attachment 1656191
Walitoa tamko rasmi ama ni watu tu mmoja mmoja akiamua kusema lake anasema tu ?
 
Yani tatizo ni kwamba Mbwa hawezi kumzaa binaadamu na binaadamu hawezi kumzaa mbwa.
Unajuaje kwamba we ni binadamu na sio mbwa tu unayepelekeshwa na hallucination zinakufanya usahau asili yako?
 
Tamko la kufunga mipaka watu wasiende kuhiji kwa hofu ya corona?
Kwa hiyo kufunga kwao mipaka inathibitisha kuwa wao walisema kwamba china imelaaniwa kwa kula popo ?
 
Wapi nimesema hivyo?
Kwani wapi nimesema kuwa umesema hivyo ?

Wewe mwanzo uliposema hivi ulikusudia nini 👇👇👇
hawa majamaa walitulisha conspiracy nyingi sana walifikia hatua ya kuishutumu china kua imelaaniwa na mungu kutokana na ulaji wa popo pamoja na kuchana misaafu ya kiislamu now how?
 
nilikusudia kama nilivyo andika
Basi kama hakuna uliyemtuhumu juu ya uliyoyaandika hayo maneno yanabaki kuwa ni matamanio yako ya nafsi yasiyokuwa na maana yeyote
 
Back
Top Bottom