undefinedTrump kamtuma waziri pompei kwenda kuongea na King Salman,undefinednadhani wanakwenda kumpoza hasira kidogo na kumwambia hawana mpango wa kumwekea vikwazo,undefinedsasa mwezi ujao ni uchaguzi kule marekani na Trump anaweza kujiroga asipochukua hatua na kama kutatokea ushahidi mwingineDunia bwana inachekesha kweli,huku China kampoteza interpol,huku Saudis kampoteza mwandishi,kwingine asiyejulikana kampoteza muhindi.basis dunia tafarani bora hata mbugani kuna amani.
Kuna kitu hakipo sawa pahali Fulani hii dunia imeinama kidogo mkuu.nahisi pana jambo laja.huyu trump huyu.HayaundefinedTrump kamtuma waziri pompei kwenda kuongea na King Salman,undefinednadhani wanakwenda kumpoza hasira kidogo na kumwambia hawana mpango wa kumwekea vikwazo,undefinedsasa mwezi ujao ni uchaguzi kule marekani na Trump anaweza kujiroga asipochukua hatua na kama kutatokea ushahidi mwingine
Akili yake si Kama jiwe tu, zinaingia zinatoka....All eyes on him.
Sijui kapatwa na nini wallah.
Alianza vizuri as a reformer, sasa inabidi awe reformed.
Utawala ule wakifalme hauna uhusiano wowote na Uislam, yapo pale keep maslahi tu majizi na mauwaji makubwa...Huyu bwana Jamal Khashoggi, inaonekana aliingizwa mkenge eti aende pale Ubalozi Mdogo (Consular Office) Istanbul akaandaliwe hati ya ndoa pale kwani aliishapendana na binti wa Ki-Turkey ambaye wakati anaingia ndani alikuwa kamuacha nje.
Kumbe waarabu wenzake mle ubalozini waliishajipanga kummaliza kwani alikuwa ni mkosoaji mkubwa wa utawala wa kiimla wa Saudia akiiandikia gazeti maarufu la Washington Post kama Columnist.
Inaonekana baada ya kufanyiwa Intensive Grilling and Interrogation ndio wakammaliza kwa kumfanyia Bodily Dismembering na mwisho kuweka viungo vyake kwenye maboksi mithili ya parcels na kusafirisha hadi Saudia.
Baada ya zoezi kwisha, wauaji takriban 15 walisafiri kurejea nyumbani, sita kwa ndege waliokuja nayo awali walirejea via Cairo na baadaye to Riadh, ilhali wengine saba walirejea nyumbani kwa ndege nyingine kupitia Dubai and then Riadh na wawili walirejea through commercial airlines.
Naona sasa Saudia baada ya kuumbuka anajaribu kumfanyia Marekani "Blackmail" kuwa kama vipi vipi wanaweza wakaongea na Iran ili wazike uhasama na pia wawape Russia Military Base in North West Saudi Arabia pia wajenge mahusiano ya karibu na China.
Ngoja tuone mwisho itakuwaje ila huu ufalme wa Saudia huku tuendako inaonekana wanaishi "On a borrowed time" kwani utawala wao hauna chembe yoyote ya Mungu kama ambavyo wamekuwa wakihadaa dunia. Ni genge la Wahuni watupu na Matapeli wenye uchu wa madaraka. They've outlived their welcome.
NB: Saa ya Khashoggi aina ya Apple ilirekodi matukio yote na kuyarusha kwenye simu yake iPhone aliyomuachia mchumba wake nje na kwa sasa iko mikononi mwa The Turkish Security Agencies. Juhudi za wauwaji wake kutaka kuvuruga mawasiliano yake zilifeli.
Nalendwa,
Hakuna chochote kinachoweza kufanywa kwa Saudi Arabia, sanasana watatafuta "a compromise ground" na yataishia hapohapo..
Mtu kashikilia mafuta ya kuyasambaza dunia nzima, halafu unamwambia nini?
Isitoshe Marekani itabidi afikirie mauzo yake ya silaha kiasi kwamba ni vigumu kusimamisha fedha za malipo ya silaha hizo kutoka kwa hawa waraabu.
Hivyo wazo la kuwawekea vikwazo ni gumu kulitekeleza.
Sidhani kama Marekani Kuna kitu kikubwa ataifanya Saudia kipindi hiki ambapo anategemewa (Saudia) kuzalisha mafuta zaidi kuepuka kupanda Bei ya mafuta baada ya vikwazo vya Iran kuanza kazi rasmi November 4th.
Trump kasema kaongea na simu na Mfalme Salman na amekataa Saudia kuhusika na tukio hilo la kinyama.
Trump mwenyewe Jana kakubali kwamba kuiwekea Saudia vikwazo Upande wa Jeshi kwa kutouzia watakua wanajiumiza wenyewe.
Hiyo issue itaishia hivihivi,labda kidogo wafanye kitu ila kwa Upande wa Marekani SIDHANI.
Jidanganye tu wale ndiyo ishara ya uislamu na walinzi wa uislamuUtawala ule wakifalme hauna uhusiano wowote na Uislam, yapo pale keep maslahi tu majizi na mauwaji makubwa...
Iran anahusikaje hapo kwenye sakata hili??Saudia nao wajinga; wanaipa Iran ushindi wa mezani kizembe. How comes wanakana kuhusika na kupotea kwa Khashogi wakati kwa mara ya mwisho aliingia ubalozini kwao na hakutoka? Upuuzi kama huo walitakiwa waufanyie shithole countries na sio nchi kama Turkey.
Khashogi naye mzembe; kwa mazingira kama yale alikubalije kwenda ubalozi wa aina ile bila tahadhari? Alishindwa vipi kuwa na escort ya watu wawili au watatu? Anyway, siku ikifika miti yote huteleza.
Mkuu hii post comment yako adimu sana aiseee, hebu tujaribu kuhifadhi kwa ajili ya baadaeKwa maana nyingine Saud kampakata Trump sio akifurukuta kwa sanctions anaweza muweka pembeni !!?
kuna kila dalili ipo siku Saudi Arabia itagongwa kwa mabumu ya U.S. !!
yakitokea Yemen!!
undefinedTrump kamtuma waziri pompei kwenda kuongea na King Salman,undefinednadhani wanakwenda kumpoza hasira kidogo na kumwambia hawana mpango wa kumwekea vikwazo,undefinedsasa mwezi ujao ni uchaguzi kule marekani na Trump anaweza kujiroga asipochukua hatua na kama kutatokea ushahidi mwingine
Saudi Arabia kukiri siku siyo nyingi mwanahabari alifariki akihojiwa Ubalozini. Hatua Kali za kinidhamu kuchukuliwa kwa wahusika.Huku kwetu MO ndo basi tena,wabongo washamsahau.Ila huko nadhani Saudia watatafuta wa kumtwika mzigo.Either kakikundi ka uhalifu n.k
Saudi Arabia kukiri siku siyo nyingi mwanahabari alifariki akihojiwa Ubalozini. Hatua Kali za kinidhamu kuchukuliwa kwa wahusika.Huku kwetu MO ndo basi tena,wabongo washamsahau.Ila huko nadhani Saudia watatafuta wa kumtwika mzigo.Either kakikundi ka uhalifu n.k
Muslim Based State au nimeingia chaka?Sio Saudi Arabia vs the world.. Ni the world vs that mad blood thirsty MBS
Crown Mohamed Bin SalmanMuslim Based State au nimeingia chaka?
Sawa mkuu,Crown Mohamed Bin Salman
Hakuna namna wangeweza chomoa kwenye hizo tuhuma especially ukizingatia mazingira/nchi zilimofanyikia. Ingekuwa shitholes wangechomoa lakini sio nchi kama Turkey zenye kila aina ya technology ku-trace nyendo za binadamu.Richard ze kokuyo Elungata dudus Nyanjomigire
Prince kala kibano cha kutosha nini!, mpaka ana admit?!
Interrogation gone wrong ndo wakaamua kum chop up!..