Una haki ya kusema utakalo lkn Huwezi kukataa maana halisi ya USHIRIKINA.Hizo ndiozo dalili zenu za kuchanganyikiwa!! Mungu wako mie naamini ni shetani , Lusifa! Sasa usinchanganye sifa za Mungu wako na Mungu wa Dini zingine lazima mjitahidi kupenda dini zenu na kuziamini kuwa zinajitosheleza!
Sema usemayo mie najua na ongea na mtu anaeabudu shetani!! Hawezi kunilaghai !!Una haki ya kusema utakalo lkn Huwezi kukataa maana halisi ya USHIRIKINA.
Yesu hakuwa MSHIRIKINA wala Hakuabudu mtu wala hakusema Yeye ni Mungu.
Nakupa maneno hapa km Una busara huenda yakakufaa.
MUNGU ANASEMA.
QURAAN 3:64.
قُلْ يَا أَهْلَ الْكِتَابِ تَعَالَوْا إِلَىٰ كَلِمَةٍ سَوَاءٍ بَيْنَنَا وَبَيْنَكُمْ أَلَّا نَعْبُدَ إِلَّا اللَّهَ وَلَا نُشْرِكَ بِهِ شَيْئًا وَلَا يَتَّخِذَ بَعْضُنَا بَعْضًا أَرْبَابًا مِنْ دُونِ اللَّهِ ۚ فَإِنْ تَوَلَّوْا فَقُولُوا اشْهَدُوا بِأَنَّا مُسْلِمُونَ
Sema: Enyi Watu wa Kitabu! Njooni kwenye neno lilio sawa baina yetu na nyinyi: Ya kwamba tusimuabudu yeyote ila Mwenyezi Mungu, wala tusimshirikishe na chochote; wala tusifanyane sisi kwa sisi kuwa Waola Walezi badala ya Mwenyezi Mungu. Na wakigeuka basi semeni: Shuhudieni ya kwamba sisi ni Waislamu.
NA wewe UKIENDELEA Kumshirikisha MUNGU mimi jibu ni kuwa :"MIMI NI MUISLAMU"
Na SIMSHIRIKISHI MUNGU MKUU NA KITU CHOCHOTE.
Ahsante
Nikisha kulaghai nani ananilipa?Sema usemayo mie najua na ongea na mtu anaeabudu shetani!! Hawezi kunilaghai !!
Haya maneno unayosema wewe hata Makafiri waliotangulia walisema haya haya pale walipoambiwa WAACHE IBADA YA MASANAMU.Sema usemayo mie najua na ongea na mtu anaeabudu shetani!! Hawezi kunilaghai !!
Hizo zote ni hila za mwovu shetani!! Potelea jahanam !!!Nikisha kulaghai nani ananilipa?
Unapoandika vitu hapa jaribu kufikiri japo kidogo.
Mimi sikujui wala hunijui nikulaghai kwani nimetaka pesa zako km Gwajima?
We ziba maskio na macho lkn Ukifa hali ya kuwa ni MSHIRIKINA (muabudu mtu na mapicha) basi Moto WA JAHANNAMU ndio yatakuwa makazi yako.
Dada wanne wote wamechomwa na Pasi!Kuna dada zetu wanne kutoka Tanga walirudi na majeraha ya kutosha kwa kuchomwa na pasi huko huko Saudia.
UBALOZI WA TANZANIA NCHINI SAUDIA UNA TAARIFA HIZI.
UKISIKIA DADA YAKO ANAKWENDA SAUDIA BASI JUA KUWA INAWEZEKANA ATAKUTANA NA MADHIRA YA KUTISHA
Yes, The Planned Parenthood Shooter Is A ‘Christian Terrorist’That's why the world is the most interesting place.
We are all different.
Wewe hudhani ya kwamba dunia ingekuwa very boring kama wote tunafana kwa kila kitu?
Sio wakristo hawa bro hawa ni wafuasi weusi wa Yehuda alolaaniwa kwa kumpinga Mtume Musa na baadae wakampeleka Yesu kwa Pilato kwa amri ya Mabwana zao Mafarisayo, hawa ndio wale Mwenyezi Mungu aliwaambia "Kuunu Kiradatan Khashiyin" wa the modern times.Na wewe hili likifanyika Roho inakuuma sana Au sio?
Nyie wakristo sijui lini mtaacha chuki kwa Waislamu.
Heckle: Christian terrorism in the modern worldMagaidi huwa mnalishana ujinga sana mkikutana kwenye vijiwe vyenu vya kahawa jioni
N.a. kuaanza kulaumu na kulalamika ndio faida ya ilmu akhera
Kwahiyo kuna utumwa kwa hiari yake?
Jisomee kuhusu utumwa wa leo.
This map shows where the world’s 30 million slaves live. There are 60,000 in the U.S.
Jina lako na Akili yako vinakwenda Sambasamba.Kwani Faiza nini matumaini yako baada ya uzima huu? Baada ya kuondoka duniani unategemea nini wewe? kahtaan yeye itakuwa kazi moja tu, bikra 70 zikimchanulia daima dumu; bikra ambazo haziishi ladha bali utamu huongezeka kadri muda unavyokwenda. Hajjat Faiza tujuze na wewe utafaidi nini baada ya masumbufu na taabu za dunia hii? Au ndio unaenda kuwa asusa ya akina kahtaan na ritz wanakusanifu tu hapa.
http://www.churchmilitant.com/mp3/vort-2016-01-11.mp3Jina lako na Akili yako vinakwenda Sambasamba.
Makafiri mlivyo wapumbavu akili zenu mnadhani waislamu wanafanya ibada kwa kutafuta wanawake wa peponi mkisahau kuwa Sisi Tumepewa RUKSA ya KUOA wake wanne Hapa hapa Duniani na Hili kwa mwanamme yyt ni Tosha kabisa kuondoa Tamaa na Fikra za Ngono zaidi.
Wenye Shida ni Nyie ambao mnajifanya Kumuiga Yesu.
Matokeo yake mnabaka na kulawiti ovyo.
Wengi wenu Ndoa za Jinsia Moja ndio Zimepamba moto Makanisani DUNIA HAIJAPATA KUONA.
Kesi hizi zinawaandama wengi wenu
Wagalatia Wengine kwa kumuiga Yesu yuko Kenge Mmoja hapo Nigeria Eti Kamuiga Yesu KUTEMBEA kwenye Maji. MATOKEO YAKE KAZAMA km Titanic.
Teh teh teh teh.
Miaka ya late 20s Mamia ya MAPADRI walikata madushelele yao huko Ulaya ati Hawataki Kupata hamu ya Mwanamke lkn Wapi!
Kubaka mnaendelea kila Kona ya Dunia.
Oeni nyie wagalatia kabla hamjamalizana. Mtabaka mpk Bata.
Mi nikiona mgalatia karibu ya nyumbani kwangu nafungia Mbuzi wangu na kuku wangu haraka sana.
Mcheki Huyu KIONGOZI WAKO Hapa.
Anadai Alioteshwa na YESU Akaujaze Ulimwengu.
We ndoto hio hujaletewa bado na Roho wa PAPA?
Kondoo ni Kondoo tu.
Jisomee kuhusu utumwa wa leo.
This map shows where the world’s 30 million slaves live. There are 60,000 in the U.S.
Marekani hamna mtumwa zaidi wale vijakazi wa saudi princesses wanaokuja ma mabosi zao
Wewe mama huelewi maana ya laana nadhani pole sana story mnazolishana madrasa zinawapotosha kweli kweli wazee wa mabikra7 peponi ahhahhahhaNchi iliyojaa lana hiyo unataka kusema nini, jisomee:
Brave Man Speaks About The Horrors Of Being A Gay Sex Slave / Queerty
Wewe mama huelewi maana ya laana nadhani pole sana story mnazolishana madrasa zinawapotosha kweli kweli wazee wa mabikra7 peponi ahhahhahha
Wewe mama huelewi maana ya laana nadhani pole sana story mnazolishana madrasa zinawapotosha kweli kweli wazee wa mabikra7 peponi ahhahhahha
Acha uwongo wewe, maana ya Waleed وليد sio mtumwa maana ya Waleed (ni kuzaliwa).Kuropoka bila elimu kunakuletea aibu wewe na wazee wako mkuu.
Nani alikwambia WAIRANI ni Waarabu?
Teh teh teh teh.
Wagalatia balaa tu.
Yaani Kila anaeishi nchi karibu na waarabu Basi na yeye Mwarabu.
Halafu mkiambiwa vichwa vyenu makamasi mnakuwa wakali na kutoa matusi.
Daaaaah!!! Kuna jamaa yangu anaitwa Walid na mtoto wake wa mwisho kampa Hilo jina pia....kumbe Lina maana ya mtumwa aliyebadili dini na kuwa Muislamu. Eeeeeh Mola weee!!!!