Saudi Arabia nayo yarekebisha ndoa kwa wenye umri mdogo

  • Thanks
Reactions: PNC
Ishu sio bint yang anaolewa na mzee wa miaka mingapi wala nn ishu ni bint yang kavunja ungo ama bado na kama kavunja ungo anafaa kuolewa ama hafai na kama ana faa anaolewa na nani na nani hilo siwez jiadili sana kama bado yupo chini yamisingi inayoruhusika...
Kwahyo Aisha aliolewa na miaka mingapi??18??
Coz muddy kafa Aisha ana miaka 18
Yani imagine binti yako miaka 6 aje kuolewa na lizee la miaka hamsini na kitu?!!?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Samahani kama ntakukwaza na hili swali
Aisee wewe jamaa.. Uko sawa kweli upstairs.. Yaani ulivyosema hivyo imenibidi nimtazame binti yangu hapa mwenye makamo hayo... Masikini haya kujitambua hajitambui halafu ndio aolewe... Huu si ukichaa huu
Bint yako inaweza ikawa hajitambui kama unavyosema sijakataa ila anaweza pengne akawa kaisha vunja ungo na siku unakuja kumkuta anashiriki tendo na m2 wa umri wako ama zaidi yawako inakaaje hapo MKUU ....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Samahani kama ntakukwaza na hili swaliBint yako inaweza ikawa hajitambui kama unavyosema sijakataa ila anaweza pengne akawa kaisha vunja ungo na siku unakuja kumkuta anashiriki tendo na m2 wa umri wako ama zaidi yawako inakaaje hapo MKUU ....

Sent using Jamii Forums mobile app
Simply tu.. Namshtaki victim niliyemkuta nae... Binti nakwenda kumpima Kama hajapata maambukizi ya magonjwa ya ngono.... Pia nampeleka katika kituo cha kupatiwa ushauri nasaha....

Kwa-hiyo wewe ukimkuta mtoto wako wa miaka 5 anaingiliwa kimwili utamuacha... Kwa kuwa ameshajifunza tabia chafu?
 
Marekebisho hayo yalifanywa na Mfalme wa saudia Mr Mohamed Salman.

Ili upate kibali cha kuoa mtoto aliye chini ya miaka 18 ni lazima upate kibali kutoka mahakama maalum na ijidhihirishe kuwa ndoa hiyo haitamuathiri au kumuumiza muolewa au muolewaji.

====
Saudi Arabia on Monday issued a de facto ban on child marriages, in another social reform initiated since Mohammad Bin Salman became crown prince two years ago.

The Justice Ministry issued an order to the courts that any marriage application for someone under the age of 18 would have to be referred to a special court to make sure that “marrying those below 18-years old will not harm them and will achieve their best interest, whether they are male or female”.

The order comes after an amendment to the kingdom's Child Protection Law was passed by the Shoura Council in January that sought to ban child marriages under 15 entirely and establish new rules around those between 16 - 18 years old.

Sent using Jamii Forums mobile app

Kwanza umetafsiri sivyo. Mohammad bin Salman siyo "mfalme" wa Saudi Arabia ni mwana wa mfalme. Mfalme ni baba'ke, Salman bin Abdul Aziz. Huyo ni "Crown Prince" mrithi wa ufalme mtarajiwa.

Hivi sheria yetu ya Tanzania ya miaka 14 ilirekebishwa?
 
Huyo inaonekana atamuozesha kabisa binti yake kwa kibabu atachomkuta nacho
Simply tu.. Namshtaki victim niliyemkuta nae... Binti nakwenda kumpima Kama hajapata maambukizi ya magonjwa ya ngono.... Pia nampeleka katika kituo cha kupatiwa ushauri nasaha....

Kwa-hiyo wewe ukimkuta mtoto wako wa miaka 5 anaingiliwa kimwili utamuacha... Kwa kuwa ameshajifunza tabia chafu?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
  • Thanks
Reactions: PNC
Samahani kama ntakukwaza na hili swaliBint yako inaweza ikawa hajitambui kama unavyosema sijakataa ila anaweza pengne akawa kaisha vunja ungo na siku unakuja kumkuta anashiriki tendo na m2 wa umri wako ama zaidi yawako inakaaje hapo MKUU ....

Sent using Jamii Forums mobile app
Hilo nalo ni swali la kuuliza kweli? Yaani umkute bint yako wa umri huo ukifanyiwa kitendo hicho badala kumsaidia kama mzazi na sheria zipo wazi, badala yake wewe unataka uchukue hatua za kuzidi kumkandamiza kwa kumshindilia kuwa aolewe kabisa?
Hili ni kosa la ubakaji.
 
  • Thanks
Reactions: PNC
Kwani Saudia sio nchi ya Kiislamu?
Haitumii sharia kuongoza nchi yao!
Inakuwaje inapingana na qurani?
Hakuna wafia dini kuhoji ujinga huu?
Najaribu kuwaza ikija bongo tutapona?

Bazazi

Sent using Jamii Forums mobile app
1.Wafia Dini ndo Kina nani?
2.Kama hauna chuki dhidi ya Uislam, Ukitaka kujua uongozi wa Kiislam upoje basi Msome Khalifa Othman wa Ottoman na Umar bin Khattab. Hapo ndio utajua misingi ya uongozi wa kiislam upoje
 
Binti wa miaka mitano kawahi kuvunja ungo wapi
Simply tu.. Namshtaki victim niliyemkuta nae... Binti nakwenda kumpima Kama hajapata maambukizi ya magonjwa ya ngono.... Pia nampeleka katika kituo cha kupatiwa ushauri nasaha....

Kwa-hiyo wewe ukimkuta mtoto wako wa miaka 5 anaingiliwa kimwili utamuacha... Kwa kuwa ameshajifunza tabia chafu?
Rudia swali langu halafu unijibu tena binti kama anaweza kuingiliwa akisha vunja ungo u victim uko wap hapo kama kungekua kuna u victim c angetulia ukishavunja ungo ushakua tayar kuingiliwa kimwili na ujue mwanamke akishavunja ungo anaweza mhimili mwanaume wa umri wowote ule

Ss kama anaweza kuingiliwa na wanaume kwa nn mktaze asiolewe ...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
inshu inakuja sasa binti hajavunja ungo,,,inabidi umuozeshe sasa au wewe unahisi Aisha alivunja ungo akiwa na miaka 6??
Kwanza hapa mada nlokua maisemea mm sio bint ambae hajavunja ungo mbna mnapenda kutoka out of mada mm nimesema bint ambae kaishavunja ungo

Jengine aisha hakuolewa akiwa na miaka 6 ..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hehehe
Hilo nalo ni swali la kuuliza kweli? Yaani umkute bint yako wa umri huo ukifanyiwa kitendo hicho badala kumsaidia kama mzazi na sheria zipo wazi, badala yake wewe unataka uchukue hatua za kuzidi kumkandamiza kwa kumshindilia kuwa aolewe kabisa?
Hili ni kosa la ubakaji.
Lengo langu hapa nlitaka nijue kama bint ana ingiliwa akiwa na miaka hio hawez himili mwanaume gan !?

Mnakataa /tunakataa watoto wetu wasiolewe katika umri tajwa hapo juu wakat huo huo wana mabwana tele unakuta kitoto cha umri wa under 18 hata usichana (bikra) hana au unahisi inayayuka 2 bila 7bu ...

Vitoto vya miaka ya under 18 mnakataa visiolewe wakat kwenye vikao mashulen 2kienda vinatoa mimba na vilishatoa zaidi ya moja

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom