Saudi Arabia nayo yarekebisha ndoa kwa wenye umri mdogo

Screenshot_20191229-102127.jpeg

Nawashangaa wanaoshangaa kwa kushangaa ya Saudi Arabia wakati hata Tanzania sheria iko wazi.

Sent using Infinix S3
 
1.Wafia Dini ndo Kina nani?
2.Kama hauna chuki dhidi ya Uislam, Ukitaka kujua uongozi wa Kiislam upoje basi Msome Khalifa Othman wa Ottoman na Umar bin Khattab. Hapo ndio utajua misingi ya uongozi wa kiislam upoje
1. Wafia dini ni watu wanaojitabanaisha kuwa wanaijua dini kuliko mwanzilishi wake. Wapo ktk dini zote duniani.

Kwenye uzi huu ni Waislamu ambao.baadhi ya watu huwaita WAISLAMU WENYE MSIMAMO MKALI! Huku kwetu ni Wanaharakati wale wavaa vipedo ambao kwa mtu asiye muislamu, ni KAFRI na MPAGANI hivyo hastahili kuishi. Ni wale Waislamu wanaotaka Tanzania iwe nchi ya Kiislamu kuliko Saudia ambako Uislam ulianzia. Mfano wake ni wale Maaluni waliokuwa Mkiru. Una swali lingine!

2. Niwe na chuki na Uislamu ili nipate nini! Mi sio Muislamu na sitakaa niwe Muislamu hadi naingia kaburini sasa niuchukie ili iweje! Sina haja ya kuyajua ya Kiislamu na Uongozi wake kwani hayana faida kwangu nikiwa KAFRI & PAGANI. Nachojua ktk Uislam kuna chuki kubwa dhidi ya Watu wasio Waislamu. Kwao ni watu wa kuuliwa au kulipishwa kodi kama wasipokubali kuslimu hivyo mi ni moja ya lengo lao kama ISWAP/BOKO HARAMU walivyowaua Wale Wakristo 10 huku wakiwasamehe Waislamu 2 siku ya Sikukuu ya Kipagani ya Noel.

3. Una hoja zingine?!

Bazazi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
  • Thanks
Reactions: PNC
Hicho kibwagizo wanakitumia kuficha uongo wao😀😀

Ukiona wamekwambia hivyo tu jua ni fix hiyo. Hamna kitu hapo uongo tu
Upi uongo? hebu tuwekee wazi,maana mii si elewi wewe unaongelea jambo gani.
Maa ina sema Serikali ya Saudia,Kuweka sheria ya Mttoto wa kike asiolewe chini ya miaka 18.
Wewe ualeta habari za Mama Aisha,Mke wa Mtumme wetu,na Mama wa Maumini,
Nini hasa inachokilenga hapa?
 
Binti yako akiwa na Miaka 10 utakua tayari aingiliwe kimwili na mwanume wa Ndoa??
kwani tatizo hapa ni Uwezo wa kuingiliwa au tatizo ni ndoa?
Maana wapo Mabinti kibao hukutwa na Ujauzito huko mitaani ,tena miaka yao ama ni 10,11 au 14 na imekuwa si kioja mpaka serikali ndo zimekuja na wazo la kutaka waachwe wasome kwanza ,na wasiolewe.
Ila kuonjwa huko mitaani si shida ilimradi asishike mimba
Si unaona Hii dhana ilivyo ?
 
Upi uongo? hebu tuwekee wazi,maana mii si elewi wewe unaongelea jambo gani.
Maa ina sema Serikali ya Saudia,Kuweka sheria ya Mttoto wa kike asiolewe chini ya miaka 18.
Wewe ualeta habari za Mama Aisha,Mke wa Mtumme wetu,na Mama wa Maumini,
Nini hasa inachokilenga hapa?
Saudi Arabia na Uislam ni kama kopo na mfuniko. Usipanik mkuu....take it easy.
 
1. Wafia dini ni watu wanaojitabanaisha kuwa wanaijua dini kuliko mwanzilishi wake. Wapo ktk dini zote duniani.

Kwenye uzi huu ni Waislamu ambao.baadhi ya watu huwaita WAISLAMU WENYE MSIMAMO MKALI! Huku kwetu ni Wanaharakati wale wavaa vipedo ambao kwa mtu asiye muislamu, ni KAFRI na MPAGANI hivyo hastahili kuishi. Ni wale Waislamu wanaotaka Tanzania iwe nchi ya Kiislamu kuliko Saudia ambako Uislam ulianzia. Mfano wake ni wale Maaluni waliokuwa Mkiru. Una swali lingine!

2. Niwe na chuki na Uislamu ili nipate nini! Mi sio Muislamu na sitakaa niwe Muislamu hadi naingia kaburini sasa niuchukie ili iweje! Sina haja ya kuyajua ya Kiislamu na Uongozi wake kwani hayana faida kwangu nikiwa KAFRI & PAGANI. Nachojua ktk Uislam kuna chuki kubwa dhidi ya Watu wasio Waislamu. Kwao ni watu wa kuuliwa au kulipishwa kodi kama wasipokubali kuslimu hivyo mi ni moja ya lengo lao kama ISWAP/BOKO HARAMU walivyowaua Wale Wakristo 10 huku wakiwasamehe Waislamu 2 siku ya Sikukuu ya Kipagani ya Noel.

3. Una hoja zingine?!

Bazazi

Sent using Jamii Forums mobile app
Nakuhurumia,
Usijiwekee mipaka ya kuto taka kuujua uislamu,
Huenda utajasikia siku umepiga hodi nyumbani kwako,na utastaajabu.
Uislamu uliouleza wewe hapa ,ni wa chuki na si ule aliouleta Muhammad (saw).
Nakuita katika dini hii ,kwani elewa

Dini ziko nyingi duniani,
lakini Mwenyezimungu Muumba wa nchi na vilivyomo hazitambui isipokuwa MOJA tuu.nayo ni UISLAMU, zilizobakia zitakuwa batili kwake.
Hata yesu alisema.
Njooni kwangu,mujivike nira yangu,kwani mimi ni MPOLE na MNYENYEKEVU WA MOYO yaani ni ( MUISLAMU) kwa tafsiri yangu.
NJIA ni moja tuu na ndo hiyo Manabii na mitume wa Mungu wote waliyoipita.
Huwezi kuikwepa ikiwa ni mwenye kumuamini Mungu wa kweli.
 
Saudi Arabia na Uislam ni kama kopo na mfuniko. Usipanik mkuu....take it easy.
Sasa nime kusoma,
Kuhusu binti kuolewa ,mambo haya yalikuwepo tangu zama na zama
pale Mwana adamu alipo anza kuwepo hapa Ardhini na maisha ya Ngono yalikuwepo.
Na hapakuwa na Taratibu za kuweka Umri maalumu huko nyuma.
Kwani dini na mila za kibinadamu zilikuwa na sharti moja tuu,Nalo ni Mtoto wa kike 'kubaleghe' yaani kupata ukubwa.
Akivunja ungo taratibu za kumuanda kwenda kwa mume zinaanza.
Nawakumbuka Ndugu zangu wa Kizaramu ,wao humcheza ngoma ili kuwajulisha vijana kuwa yuko tayari kuchezea bakora.

Siki zile Elimu kwa mwanamke ilikuwa ni kjuwa kutunza nyumba yake tuu.na Kumfurahisha mume wake kitandani.
Aidha kujuwa kulea mtoto na kumtunza.
Karne na karne huko ndo tulikotoka na dunia haikusimama eti kwa kuwepo mfumo huo.
Leo ni kioja eti kuna semwa Haki za mtoto wa kike, sababu ya kusoma sana ili awe na fani za kidunia ya leo.
Jambo hili si baya ,lakini lisiwekwe kuwa shinikizo kwa mabinti wote.
Kwani kuna mabinti wengine hawako na intrest kabisa ya kuendelea na shule,bali wao shule yao ni kupenda mambo ya dani ya nyumba.Wapewe haki yao hiyo ya msingi ,wasikwazwe na sheria.
 
Nakuhurumia,
Usijiwekee mipaka ya kuto taka kuujua uislamu,
Huenda utajasikia siku umepiga hodi nyumbani kwako,na utastaajabu.
Uislamu uliouleza wewe hapa ,ni wa chuki na si ule aliouleta Muhammad (saw).
Nakuita katika dini hii ,kwani elewa

Dini ziko nyingi duniani,
lakini Mwenyezimungu Muumba wa nchi na vilivyomo hazitambui isipokuwa MOJA tuu.nayo ni UISLAMU, zilizobakia zitakuwa batili kwake.
Hata yesu alisema.
Njooni kwangu,mujivike nira yangu,kwani mimi ni MPOLE na MNYENYEKEVU WA MOYO yaani ni ( MUISLAMU) kwa tafsiri yangu.
NJIA ni moja tuu na ndo hiyo Manabii na mitume wa Mungu wote waliyoipita.
Huwezi kuikwepa ikiwa ni mwenye kumuamini Mungu wa kweli.
Thibitisha kuwa Mungu anaitambua ISLAM kama dini yake. Usilazimishe mambo kwa kutumia kitabu chako unachokiamini.

Siwezi kuwa Muislamu labda maiti yangu na sio nikiwa hai.

Bazazi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Thibitisha kuwa Mungu anaitambua ISLAM kama dini yake. Usilazimishe mambo kwa kutumia kitabu chako unachokiamini.

Siwezi kuwa Muislamu labda maiti yangu na sio nikiwa hai.

Bazazi

Sent using Jamii Forums mobile app
KWA JINA LA MWENYEEZI MUNGU MWINGI WA REHEMA MWENYE KUREHEMU
Mane no haya nakuonesha Utukufu wa Huyu Mungu wetu Miminawewe anazitambua Taurati na Injili kuwa vilikuja kutoka kwake na hii ni uthibitisho wangu kuwa
Mission ya Mungu wetu ni Moja nayo ni Kumuabudu yeye peke yake na kwa vile ana stahiki hilo

3_1.gif

3;1. Alif Laam Miim. 1

3_2.gif

3;2. Mwenyezi Mungu, hakuna Aliye Hai, Msimamizi wa yote ila Yeye milele.(Yaani wengine wote hawana uhai wa kudumu)

3_3.gif

3;3. Amekuteremshia Kitabu (Qur-an) cha ukweli, kinacho sadikisha (Mafundisho) yaliyo kuwa kabla yake. Na aliteremsha Taurati na Injili

3_4.gif

3;4. Kabla yake,(Taurati na Injili zilikusudiwa ) ziwe uwongofu kwa watu. Na akateremsha (baada ya vitabu hivyo) Furqani (Upambanuo). Hakika walio zikanusha Ishara za Mwenyezi Mungu watakuwa na adhabu kali. Na Mwenyezi Mungu ni Mwenye nguvu na Mwenye kulipa.

3_5.gif

3;5. Hakika Mwenyezi Mungu hakifichiki chochote kwake, duniani wala mbinguni. (

3_6.gif

3;6. Yeye ndiye anaye kuundeni ndani ya matumbo ya wazazi(wenu) kwa namna apendayo. Hapana mungu ila Yeye, Mwenye nguvu na Mwenye hikima. (Hajaletapo Madai Mwengine yeyote juu ya uumbaji huu)

3;19.
Bila ya shaka Dini mbele ya Mwenyezi Mungu ni Uislamu

Na atakaye chagua dini isiyokuwa hii ,Atakuwa ameipotezea nafsi yake haki ya kuingia Peponi na atakula hasara .

Mimi sioni kwa nini upoteze nafasi hii adhimu ya kumtambua aliyekuneemesha kila ulichonacho bila ya kupeleka maombi.
 
1. Wafia dini ni watu wanaojitabanaisha kuwa wanaijua dini kuliko mwanzilishi wake. Wapo ktk dini zote duniani.

Kwenye uzi huu ni Waislamu ambao.baadhi ya watu huwaita WAISLAMU WENYE MSIMAMO MKALI! Huku kwetu ni Wanaharakati wale wavaa vipedo ambao kwa mtu asiye muislamu, ni KAFRI na MPAGANI hivyo hastahili kuishi. Ni wale Waislamu wanaotaka Tanzania iwe nchi ya Kiislamu kuliko Saudia ambako Uislam ulianzia. Mfano wake ni wale Maaluni waliokuwa Mkiru. Una swali lingine!

2. Niwe na chuki na Uislamu ili nipate nini! Mi sio Muislamu na sitakaa niwe Muislamu hadi naingia kaburini sasa niuchukie ili iweje! Sina haja ya kuyajua ya Kiislamu na Uongozi wake kwani hayana faida kwangu nikiwa KAFRI & PAGANI. Nachojua ktk Uislam kuna chuki kubwa dhidi ya Watu wasio Waislamu. Kwao ni watu wa kuuliwa au kulipishwa kodi kama wasipokubali kuslimu hivyo mi ni moja ya lengo lao kama ISWAP/BOKO HARAMU walivyowaua Wale Wakristo 10 huku wakiwasamehe Waislamu 2 siku ya Sikukuu ya Kipagani ya Noel.

3. Una hoja zingine?!

Bazazi

Sent using Jamii Forums mobile app
KAMA HUTAKI KUUJUA BASI HERI UNGEKAA KIMYA USINGEONGEA KITU AMBACHO HUKIJUI. MAANA KUNA WATU WATAANGAMIA KWA KUKOSA MAARIFA
1.MAANA UNASEMA HUJUI HALAFU UNATOA MAELEZO YA USICHOKIJUA.
2.PIA SIMAAMISHI KUJIFUNZA KUHUSU UISLAM BASI NDO KUWA MUISLAM HAPA UMEONYESHA CHUKI YA WAZI
3.PIA HAO NLOWATAJA NI WATU MASHUHURI AMBAO HATA VYUO VIKUU MASHUHURI DUNIANIA WANAFUNDISHA KUHUSU MFUMO WAO WA UONGOZI
 
Ni hatua nzuri lakoni Saudia ni taifa lenye kushikilia sana mila.za kikabila na heshima ya familia. Je wananchi watakubaliana na hii sheria au ndiyo itabaki kwenye makaratasi bila utekelezaji?

Na dini inasemaje maana inaonekana inapingana na sharia ya kiislam inayotaka binti akivunja ungo tu aruhusiwe kuolewa. Hata hapa nchini kuna baadhi ya hawa ndugu zetu wanaipinga sheria ya ndoa inayotaka mabinti kuolewa na miaka 18
"Ni hatua nzuri lakoni Saudia ni taifa lenye kushikilia sana mila.za kikabila na heshima ya familia.
Saudi Arabia na Uislam ni kama kopo na mfuniko. Usipanik mkuu....take it easy.
KAMA NI HIVYO KWANINI WAZIRI MKUU WA ETHIOPIA AMBAYE NI MUISLAM ALIKATAA KUSHIRIKIANA NA SAUDIA? SAUDIA IMEBAKI KAMA HOLY PLACE TU LAKINI UONGOZI WAKE SI WA KIUADILIFU.
 
"Ni hatua nzuri lakoni Saudia ni taifa lenye kushikilia sana mila.za kikabila na heshima ya familia.

KAMA NI HIVYO KWANINI WAZIRI MKUU WA ETHIOPIA AMBAYE NI MUISLAM ALIKATAA KUSHIRIKIANA NA SAUDIA? SAUDIA IMEBAKI KAMA HOLY PLACE TU LAKINI UONGOZI WAKE SI WA KIUADILIFU.
Mkuu usidanganyike na jina Waziri Mkuu wa Ethiopia Ahmed Abiy ni Mlokole wa kufa mtu. Jina lisikudanganye.

IMG_20191229_195005.jpg

Ume niuliza swali kiutu uzima sana na kihoja sana naomba nikujibu kiutu uzima na kihoja
Kwa hiyo wewe binafsi Bwana Utam waweza kuruhusu binti yako mwenye miaka 10 na mwenye uwezo wa kuingiliwa na mwanaume, aolewe?
Haki ya mtoto upande wa elimu na masuala mengine i wapi hapo?

Sent using Jamii Forums mobile app
1.Mfano mwanangu ana miaka tajwa hapo juu na bado anasoma unajua kabisa kama ana sababu maalum inayomfanya asiolewe kwa wakat huo (Nawakat huo huo kama unakuta anasoma na anafanya mapenzi (zinaa) ana maanisha yakwamba anaweza kufanya vyote viwili mnajua mnachukulia mambo simpo sana lkn mnajua mitaani watt wengi sana wanazaa under 18 ina maana kuzalishwa sawa ila kuolewa ndio si sawa nilienda mikoa karibia yote ya kusini mwa tanzania mwaka flan flan hv MKUU Hali Mbaya Sana Kule Watoto Wadogo sana wanazalishwa na wababa hawana time na wanawao mama hamjui baba wa mtt maana anatembea na kila mwanaume wanafunzi walikua wanapewa vidonge vyakuzuia ujauzto shule mpaka zamsingi imagine shule za msingi asilimia 90 ya watt wake ni under 18 ila wengi wao wanabeba mimba

Nandio maana zamani kukawa na sheria unaweza kua mjamzto huku unasoma cjui kwa nn hii sheria haipo ss hv ama zamani watu walikua wanaonewa na bado 2najua elimu yazamani ilikua vyema zaidi ya ss

2.mfano mdogo niliwahi ishi sehem moja tz dar kuna mtoto that time alikataa kusoma nakumbuka alikua form 1 ama form 2 kwa wakat ule na alikimbia kwao kwa takriban week mbili akakaa kwa mwanaume imagine mtoto wa form hizo tajwa ana umri gan !? (ilijulikana kama alikaa kwa mwanaume maana alikiri mwenyewe na akasema kwamba hataki kusoma na hata kama atarudi shule yeye haoni kama ana sababu yakusoma anataka kukaa nahuyo bwana) watu katika kufatilia walikuja jua kwamba jamaa alokua anatoka na m2 alomzidi zaidi ya miaka 15+ kazi alokua anafanya jamaa sikuwahi ijua...

Huyu bint ana sababu gan itakayo mfnya asiolewe hata kama sio huyo m2 alokua anakaa nae huko baada ya kukimbia kwao ila anasababu gan asiolewe bora akae aendelee na zinaa !?(zinaa kwa uislam ni haram hata kama waislam 2naifanya ikiwemo mm na mwengine ila ni haram)

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom