doctorz
JF-Expert Member
- Aug 10, 2010
- 916
- 230
Ni jambo la kusikitisha kwa nchi tajiri kama Saudi Arabia kuwa na omba omba. Lakini huo ni ikweli wa maisha. Kwenye falme ambayo mfalme anatawala bila ya kufahamu umma wake ndiyo mambo kama haya hutokea. Mapesa yote wanayo chuma ya mafuta hugawana wanandugu na kuweka kwenye mabank ya ulaya na umarekani. Sababu za kidini hawawezi kuchukuwa riba. Kwa hiyo basi riba zote za akaunti zao zinawatajirisha wamajuu. Usione kuwa uchumi wa manchi hayo unatetereka hivi sasa ni sababu hayapati tena intterest sababu haya maarabu yamehamisha ma akaunti yao India, China na Malaysia. Hawapati tena zile riba za che na uchumi wao ualegalega hivi sasa. Tujihadhari sana na majitu haya ya ulaya na wamarekani yasije kutuingillia sisi. Na hali ya omba omba Saudia imeanza kuimprove ingawaje hali bado hairidhishi. Wasaudia wanaogopa saaaana kuingiliwa na kunyanganywa nchi na waweza wakapewa wengine ambao ni rafiki ya wamarekani na bara la ulaya.