Saudi Arabia na Vatican city

Endelea usitumie.... Leo jumapili hujenda kudance kwenye nyumba ya ibada?
Siku moja watu wote watatumia akili zao kama wewe afu wote watakuwa waislam. HUJAGUNDUA TU KUWA AKILI YAKO HAINA AKILI TU????
 
Siku moja watu wote watatumia akili zao kama wewe afu wote watakuwa waislam. HUJAGUNDUA TU KUWA AKILI YAKO HAINA AKILI TU????
Kuamini kuwa Mungu kachomwa chomwa ndio kuwa na akili? mhhh Kheri kuwa sina akili kama kuamini ivo ni kuwa na akili......
 
Kichwa wazi




Kafunika kichwa
Ungefananisha hivi ningekuona kidogo unafikirisha kichwa chako: ITALIA VS SAUDI ARABIA AU VATICAN CITY VS MAKKAH/MADINA
NOTE: Makkah na Madinah ndio sehemu takatifu na sio Saudi Arabia
NOTE2: Makkah na Madina haparuhusiwi kuingia kafiri yoyote mfano wako wewe mtoa mada
 
ndo mjue waarabu c lolote kwao wanawaona ovyo tu na mafuta yenu cjui dhahabu
nendeni Europe muone hawa bulshit. wakiarabu na kihindi wanavyodharauliwa ni mijitu selfish na yenye roho mbaya unadhani ugaidi ni baati mbaya kuemerge kwao its how their
Yesu alikuwa mtaliani?
 
Kafiri ndio nini mdau?
 
Mnajinganya duh
 
Kachambishe ki shack mbulula wahed.
 
Ndugu tufautisha kati Ya vita na ugaidi,so hao anti baraka wanapigana vita dhidi ya waislam ambao walianza kuwaua wakristo hovyo mitaani...na hao anti baraka hawawauwi waislam wasio na hatia ndo mana waislam Wa huko hukimbilia makanisani
 
Ndugu tufautisha kati Ya vita na ugaidi,so hao anti baraka wanapigana vita dhidi ya waislam ambao walianza kuwaua wakristo hovyo mitaani...na hao anti baraka hawawauwi waislam wasio na hatia ndo mana waislam Wa huko hukimbilia makanisani
Shabaha ya maneno ni kuwa Mkristo hawezi kuwa Gaidi au Unamaabisha nini?
 
Kama kuamini kitabu cha Mungu ni ugonjwa ni bora nisipone tu. Siwezi kuamini story za watu kuwa ni maneno ya mungu, wala siwezi kuamini dini ambayo inachagua kipi kiekwe kwenye kitabu cha "Mungu" na kipi kisiekwe
Jaribu kutumia akili na maarifa japo kidogo mpendwa unaushahidi gani kwamba Biblia takatifu inamaneno ya kuingizwa, je ulishawahi walau kusoma biblia na kufananisha na maandiko yaliyomo kwenye quaruan? Nakushauri usifuate mafundisho ya baadhi ya waislamu wenzako wapotoshaji kwamba wakristo wametunga biblia zao ukweli ni kwamba watu hao wamesoma biblia na kuugundua ukweli lkn wanaficha wengine wasijue ukweli uliomo kwenye biblia. Ushauri soma biblia utajua mambo mengi mazuri ndani yake na kukuongezea ujuzi, hekima na maarifa mintarafu uchaji wa Mungu
 
A
Acha uongo wewe, waislamu wanatumia Quran, Hadith na suna ndio maana kuna mkanganyiko wa mambo na madhehebu yanaibuka kibao. Laiti tungeisoma Quran na kuielewa hiyo mikanganyiko wala isingekuwepo. Lakini tumeamua kufuata maneno ya watu na tukaiacha Quran. Na Mungu ametuonya sana kwa hili kwenye Quran.
 
Mambo ya IMANI ni magumu sana. ila mwezi huu (Ramadhani) hawa jamaa watakuwa wapole hawatatukana sana ila ukiisha, labda huu uzi ufutwe.
 
Mbona Unapupa mkuu? Lipi la uongo hapo nimelizungumza? kwamba waislam wa madhehebu yote wanatumia QURAN hio hio?

Ngoja nikufundishe kitu basi, kamwe hatuwezi sooote tukawa na ufahamu sawasawa. Kabla ya kusema kuwa tufuate Quran tu, tungekuwa tunasali vipi? Nioneshe kwenye Quran tunapofubdishwa kusali? au baadhi ya hukmu tungelizitoa wapi? au hizo sunna ungezijuaje?

Kwa faida yako tu, tofauti katika uislam zilikuja kisiasa zaidi kuliko kiimani. Chanzo kilianza kwenye suala la UKHALIFA.

Tulia usivabe usichokijua......

Kama wewe ni muislam, ningependa kuujua msimamo wako kuhusu Mungu, hebu nambie Mungu amekaa kwenye kiti cha Arshi?
 
Kama kuamini kitabu cha Mungu ni ugonjwa ni bora nisipone tu. Siwezi kuamini story za watu kuwa ni maneno ya mungu, wala siwezi kuamini dini ambayo inachagua kipi kiekwe kwenye kitabu cha "Mungu" na kipi kisiekwe

Mkuu chilibu mbona unamkimbia sana ndugu gemmanuel?

Mtendee haki angalau kidogo basi.
 
Hakuna mkristo Gaidi

Ova and Out[emoji15]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…