Saudi Arabia na Vatican city

Pole.... Huo ni ugonjwa wa akili mkuu.
Unatakiwa milembe mkuu.
Kama kuamini kitabu cha Mungu ni ugonjwa ni bora nisipone tu. Siwezi kuamini story za watu kuwa ni maneno ya mungu, wala siwezi kuamini dini ambayo inachagua kipi kiekwe kwenye kitabu cha "Mungu" na kipi kisiekwe
 
Na katu hutopona. Wewe umeamua kuamini tu na si kwamba Wenye akili tu ndio waisilam
 
Nimeshindwa kujadiliana na wewe kwa sababu umeshindwa kutoa hoja umekuja na kashfa, ungeliweza kumzunguzia mama Yesu na utakatifu wake ndio ungejua thamani ya khadija. Lakini kwa ukafiri wako umeshindwa kujielewa,baki kuwa kafiri.
 
Hivi umewahi kujiuliza wewe ukipatikana vipi?? Unajua process zilizofanyika kuanzia utongozwaji wa aliekuzaa mpaka hekaheka za kupatikana wewe...
 
Hivi umewahi kujiuliza wewe ukipatikana vipi?? Unajua process zilizofanyika kuanzia utongozwaji wa aliekuzaa mpaka hekaheka za kupatikana wewe...
 
Hakika uislam ni dini iliyokamilika na Quran ni kitabu chake mwenyezi mungu hakina shaka ndani yake tusipende kuuhukumu uislam kwa matendo ya watawala ambao kwao wanajua ya duniani na raha zake hao wafalme wasaudia hawana uislam ukiwafuatilia na hakika wangekuwa waislam hata huyo malaya wasingeongozana naye wanaudhalilisha uislam ni munafiki wote na moto unawasubiri maana Allah hapendi wanafiki ni hayo
 
Hahahaha una hakika hicho kitabu kimetoka kwa Allah au unaamini tu hivyo hivyo?!
 
Kama kuamini kitabu cha Mungu ni ugonjwa ni bora nisipone tu. Siwezi kuamini story za watu kuwa ni maneno ya mungu, wala siwezi kuamini dini ambayo inachagua kipi kiekwe kwenye kitabu cha "Mungu" na kipi kisiekwe
Hahahaha dini ni kuamini tu hata ujinga pasipo kuwa na uthibitisho na hicho ukiaminicho, leo hii mnadanganywa kuwa kitabu kiliandikwa na Mungu lkn ukiulizwa ulithibitishaji kama Mungu alihusika kukiandaa unaanza tilalila tu, au wewe ulisikia sauti ya Mungu ikikuambia kuwa ameandika kitabu?! Hahahaha mambo haya bhana yahitaji kujitoa akili tu kuyaamini
 
UMEDANGANYA
 
Kwa elimu yako ulopewa kanisani, hongera[emoji2] [emoji2]
 
Kwa jinsi ulivojibu post na vile nlivoandika mie, sishangai mchungaji akikwambia kapigiwa simu na mungu na nyie mkasheherekea. Pole
Uisilamu wako huenda ulizaliwa tu katika familia ya kiisilamu basi. Nawewe ukajikuta ktk uisilamu. Hapo unakuwa umetumia akili gani?
 
Uisilamu wako huenda ulizaliwa tu katika familia ya kiisilamu basi. Nawewe ukajikuta ktk uisilamu. Hapo unakuwa umetumia akili gani?
kuusoma..... unaona sisi sio kama nyinyi. Wewe mwenyeo umesema imani hutumii akili, kwaio wewe umezaliwa katika ukatoliki, ulichokifanya ni kuisoma biblia ya kikatoliki tu. Hukuusoma ukiristo na ukaishuhulisha akili yako. Wala hukuhoji kitu katika ukristo na ndio maana ukawa unawashawishi watu wasitumie akili.

Sisi huwa tunapelekwa madrassa kufundishwa huo uislam. Na unapokuwa na masuali unauliza na unapokuwa na hoja unahoji, na panapokuwa na majibu unajibiwa kwa kufahamishwa.

Kupitia kusoma huko na kuujua uislam na kutumia akili yangu nimewaza kujiridhisha kwamba kamwe Mungu hawezi kuwa binaadamu wala hakuna kiumbe chenye uwezo wa kumtesa/kumsulubu mungu.

Nimezaliwa katika uislam, lakini uislam ukiwa na amdhehebu nyingi, vile vile nilizaliwa kwenye dhehebu fulani, huku nikiwa kwenye dhehebu hilo sina nnachikifuata zaidi ya jinsi ya kusali tu, nilishawahi kusali kutumia njia ya dhehebu fulani na fulani, lakini nilikuja kujiridhisha jinsi ya kusali katika dhehebu ambalo nimezaliwa nalo. Vile vile kutoka kwenye dhehebu hilo hilo nilozaliwa, kuna mambo sikubaliani nayo bali nakubaliana na mambo yalioko kwenye dhehebu jengine. Kwaio pamoja na kwamba nimezaliwa kwenye dhehebu fulani, lakini bado nafuata baadhi ya mafunzo kutoka dhehebu jengine ambayo akili imeridhika nayo.

Kupitia kwa kutumia akili, katika uislam tuna vitabu vya hadithi ambavyo vimepokelewa na watu na watunzi tofauti, vikiwa na hadithi kwa malaki, lakini kwa vile uislam unamtaka mtu atumie akili, basi utakuja kuona kuwa maimamu wamekaa na wamechambua hadithi ilokuwa sahih na isiokuwa sahih, katika njia izo za kutambua usahih wa hadith, huwa inapimwa hadithi na Quran, ikiwa hadithi imekwenda kinyume na Quran basi hadithi hio inachukuliwa kuwa sio sahih na imetungwa (ni sifa ya binaadamu kutunga kitu), njia nyingine inatizamwa sanad, yaani waliopokea hio hadith, ndani yake akipatikana mpokezi mmoja tu mwenye mushkeli hadithi hio inahesabiwa kuwa ni dhaifu, na sio ya kuaminika.

Tofauti na dini uifatayo, ambayo watu wanakaa kitako na kuchagua sura ipi iekwe kwenye biblia ipi iondolewe, ulitakiwa ujiulize, dini hio ya Mungu au ya watu ambao wanaamua nini kiandikwe? Lakini masikini kwa vule huwez kutumia akili wala hutakiwi kuhoji, ndio umejikuta kuifuata.
 
Akili yako ndogo tu, Kwahiyo umesoma na kuishughulisha akili yako na ukajithibitishia kuwa Mungu ni Muislamu.
Kwahiyo dunia nzima wanatakiwa wawe waislam.
Kumbuka kuwa kuna watu wenye akili zaidi yako na sio waislam.
 
Shughulisha akili yako. Sijasema kuwa Mungu ni muislam, Mungu ametushushia uislam sisi tuufuate. Hio akili yako kubwa iko wapi na huitumii kwenye dini. UNafuata mkumbo tu
 
Shughulisha akili yako. Sijasema kuwa Mungu ni muislam, Mungu ametushushia uislam sisi tuufuate. Hio akili yako kubwa iko wapi na huitumii kwenye dini. UNafuata mkumbo tu
Wote tukitumia akili zetu kwenye dini utakuwa kama wewe. Acha Tuendeleze kutotumia akili zetu tusije tukageuka Waisilamu waliotumia akili zao vyema
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…