Saudi Arabia na Vatican city

Hujui chochote kumbe, kwani hapo Pope Francis na Trump walikuwa St. Peters Basilica au ofisini kwa Pope ambako ni tofauti kabisa na kanisani
kwan ofisi ya pontiff ipo wap?..eneo lote la vatican ni holly place, yan hata ukiwa mtaani vatican bado ni kama upo st. peters basilica...
 
Halafu Mnachotakiwa kujua Saudiarabia ni Nchi yenye Mikoa Mingi
Na Allah aliharamisha kwa Waso Waislam kukanyaga Ardhi ya Makkah
Lakini Watawala wa Saudia wao wakaongeza na Madina pia Waso waislam hawakanyagi Huko (Allah awalipe kwa hilo)

Hivyo hilo kwetu la Kuwa kichwa wazi halitushangazi mindhar hajakanyaga Sehem ilokatazwa

 
Eti Macca Wengine Vatican , ushenzi mtupu ..

Utakuja kushangaa hawa hata Geography ya nchi yao ya Tanzania hawaijui . ndio maana kutwa kuibiwa madini .. Dini hizi za kipuuzi zilizoletwa na mwarabu na mzungu ili aibe Mali za muafrica Leo zinatukuzwa Na huyo huyo muafrica aliefanywa mtumwa,kuibiwa, kuuawa ,kutumikishwa ,kuteswa NK... Huu ni upuuzi wa hali ya juu...
 
Wahuni hao wanapiga deal hadi kwenye makanisa
Kote walipokwenda wamepiga dili, Saudia wameuza utaalamu na silaha za kuuwa binadamu, Vatican kutakatisha pesa, pesa weee pesa wasumbuwa mioyo yetu, wagombanisha ndugu, wauwa binadamu, pesa wee pesa......
 
Okay, Asante kwa majibu mazuri! Bado kuna sintofahamu kubwa.
 
saud arabia sheria hailimt kwa mgen wa royal(anayeenda kwenye jumba la kifalme) kujfunika kchwa n option ila kwa mwanamke wa palepale saudia hawez enda bila kujfunika kchwa lakin vatican inalimit kwa mgen yeyote yule anaeenda especially wanawake wajfunike kchwa hata kabla yakwenda vatican cty Whitehouse walshapewa mashart.wanaosema dharau fatilien haya mamb kiundan
 
Mkuu Ukubwa ni pamoja na Akili ilokomaa ambayo haiendeshwi na Mihemuko
Utashusha Muruwa wako Bure pasina kujua
Na walokuwa wanakuheshim wakaanza kuuona Upuuzi ulo kichwani Mwako
Mkuu,umekosea sana ,Ukubwa ni kule kukubali ukweli na kuafikiana na hali halisi.

anyway ni kujibu hivi .Asante sana kwa maoni yako ,aghalabu nimeona kitu ndani ya kichwa chako.Binafsi nisingependelea kujadili zaidi ,mathalani napenda kusema "Mimi mwenyewe nilifanya ku- hypothesis tu" nikiwa na lengo la kujifunza zaidi.

Huku ndiko kukomaa kiakili Mkuu,na si kule kutafuniwa na kumeza.hata hivyo bado histotia ipo pale pale kwamba.Makka iliishi maisha yake kabla ya mtume Muhammad.
 
Tatizo watu sio wafuatiliaji. Wameona ni big issue eti, wakafikiria kuwa Saudia imedharauliwa. Mbona Michelle obama alikwenda kichwa wazi na haikuwa ishu? USA hawezi kuidharau Saudi hata siku, wanashirikiana kuwa fund terrorists!
 
Mambo ya imani ni mambo yasiyohitaji kutumia akili mkuu. Ni kuamini tu kama yalivyo basi
 
Mambo ya imani ni mambo yasiyohitaji kutumia akili mkuu. Ni kuamini tu kama yalivyo basi
Tumepewa akili kuchanganua na kuelewa mambo. Ukisoma imani tusitumie akili tufate tu, ni dhambi kwetu sisi. Unatakiwa uhoji na ueleweshwe, usipoelewa sema Alhamdulillah fuata huku nia yako ikiwa njema. Kama hutumii akili ndio unaishia kwenda kujitoa mhanga. Eti kamanda hajitoi mhanga, kwani yeye hataki pepo? Angejiripua kamanda, lakini wafuasi hawatumii akili ndio mana wanafanya ugaidi
 
Kwa hiyosasa naomba uje na jibu hapa. Wenye akili ni wepi Kati ya hawa Wenye imani zifuatazo;Christians, Jews, Hindus, Muslims...????..
 
Kwa hiyosasa naomba uje na jibu hapa. Wenye akili ni wepi Kati ya hawa Wenye imani zifuatazo;Christians, Jews, Hindus, Muslims...????..
Kila mmoja kapewa akili, ata mwendawqzimu anazo akili. Swali je umeitumia akili yako ipasavyo? Suala la dini ni suala la kuwa na imani huku ukiishirikisha akili. Akili itategemea unaitumi vipi. Ntakupa mfano enzi za mtume wetu s.a.w, kulikua na ami yake mtume anaitwa Abu jehel, ukiusoma uislam huyu mtu lazima utapata habari zake, abu jehel ni jina la utani manake baba la wajinga, huyu alimtambua Muhammad s.a.w kuwa ni mtume sahihi kabisa, lakini yeye aliamua asimfuate kwa sababu eti mtume kiumri ni mdogo! Abu jehel alikuwa na akili lakini kiburi chake kimemfanya awe mjinga!

Kwa alie na dini yeyote anamuona Stephen Hawking ni mjinga kusema kuwa hakuna mungu/ulimwengi umejileta wenyewe, lakini sio sahih kusema kuwa eti hana akili wakati anakuchambulia physics mi na wewe hatuoni ndani.

Kwaio suala kuu ni je Akili ulopewa umeitumia kwenye kutafuta ukweli juu ya imani yako?

Hata baadhi ya waislam hawatumii akili kwenye dini, wanafuata wanachoambiwa, na kuna mashekhe wanatumia lugha kali kiasi kwamba baadhi ya watu wanaogopa kuuliza juu ya ukweli wa suala fulani, huu ni ujinga na kuangamia. Ndio unakuta mtu anajitoa muhanga.

Katika uoslam, kuua mtu ambae yupo innocent haijaalishi dini ni sawa na kuua umma mzima! Kwaio wale wanaojiita waislam kisha wakenda kujiripua makazi yao ni moto kwa sababu wameua watu innocent, Ujinga mtupu.

Na katika Quran terminology iliyotumika wanaitwa waliopotea
 
Asante kwa maelezo yako mkuu.
Wewe baada ya kutumia akili yako leta tamko ni ipi dini ya kweli?
 
Asante kwa maelezo yako mkuu.
Wewe baada ya kutumia akili yako leta tamko ni ipi dini ya kweli?
Dini ya kweli ni uislam. Ni dini pekee ambayo inatoka kwa Allah ambayo kitabu chake hakijatiwa mkono na yoyote. Na madhehebu yote ya kiislam, ikiwa shia, sunni na ibadhi wanatumia kitabu hicho hicho kimoja na hakina tofauti. Ukitafuta Quran ya miaka 1000 ilopita na hii tulokuwa nayo ndio hio hio.
 
Point mkuu
 
Pole.... Huo ni ugonjwa wa akili mkuu.
Unatakiwa milembe mkuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…