Hebu fafanua kidogo, kwanini mafuta yanashuka bei?
Iran baadaa ya kuondelewa vikwazo vya kiuchumi yeye anauza mafuta yake kwa bei anayotakaa na ukumbuke nayeye anahazina kubwa ya mafuta....kagoma kujiunga na opec ili waweze kushirikiana kupanga bei ya mafuta sasa hii inamuwia vigumu waarabu wadubaiHebu fafanua kidogo, kwanini mafuta yanashuka bei?
kweli kabisa. kwa dunia ya leo mafuta hayawez tena kupanda bei coz yapo mengi sana sokoni na wateja wakubwa wa mafuta china, India na nchi za ulaya wanawekeza sana katika solar energy. soon kila kitu kitatumia umeme ambao unzalishwa na jua. hawa saudia wafalme wao wamewekeza sana nchi za ulaya, wanajua siku mafuta yakiisha tu tunakimbia zetu ila raia wa kawaida watateseka sana maana wamezoea sana maisha ya kiboss,Siku za mwanzo za utawala wa Obama aliwaambia live kama wanaleta nyodo na mafuta yao dunia itatafuta alternative source ya nishati au mafuta. Marekani kaanza kujichimbia yake, Norway, Russia, China, n.k. Gesi na mafuta vinaendelea kugunduliwa sehemu nyingine nyingi duniani - Tanzania na Msumbiji ni mifano ya hivi karibuni kwa upande wa gesi. Ya Uganda yataanza kumiminika miaka miwili ijayo kupitia Bandari ya Tanga hivyo soko la ukanda huu wa Mashariki na Kusini mwa Afrika litaachana na mafuta ghali kutoka Middle East.
Kama waliendekeza starehe wakaacha kutumia mapato ya mafuta kuwekeza kwenye brains za watu wao ili wazalishe bidhaa na huduma mbadala na badala yake wakawekeza kwenye dini yao ya taifa kwenye mataifa ya ng'ambo imekula kwao. Dunia imebadilika sana; hivi kwa mfano vile viwanda vya Uswisi vya kutengeneza saa ghali aina ya Oris enzi hizo siku hizi bado vipo? Maana hata hizo saa sijui kama zina soko tena siku hizi baada ya dunia kutawaliwa na digital.
Oris watakuwa walibadili bidhaa zao ili kuendana na mahitaji yanayobadilika kwa kasi ya ajabu kila uchao. Saudia waendelee kukandamiza wanawake na kuwaweka misukule ndani simply wana pesa za mafuta kuna siku watawatafutia wanaume overseas hayo mafuta yatakapokuwa priceless siku sio nyingi zijazo.
Siku za mwanzo za utawala wa Obama aliwaambia live kama wanaleta nyodo na mafuta yao dunia itatafuta alternative source ya nishati au mafuta. Marekani kaanza kujichimbia yake, Norway, Russia, China, n.k. Gesi na mafuta vinaendelea kugunduliwa sehemu nyingine nyingi duniani - Tanzania na Msumbiji ni mifano ya hivi karibuni kwa upande wa gesi. Ya Uganda yataanza kumiminika miaka miwili ijayo kupitia Bandari ya Tanga hivyo soko la ukanda huu wa Mashariki na Kusini mwa Afrika litaachana na mafuta ghali kutoka Middle East.
Kama waliendekeza starehe wakaacha kutumia mapato ya mafuta kuwekeza kwenye brains za watu wao ili wazalishe bidhaa na huduma mbadala na badala yake wakawekeza kwenye dini yao ya taifa kwenye mataifa ya ng'ambo imekula kwao. Dunia imebadilika sana; hivi kwa mfano vile viwanda vya Uswisi vya kutengeneza saa ghali aina ya Oris enzi hizo siku hizi bado vipo? Maana hata hizo saa sijui kama zina soko tena siku hizi baada ya dunia kutawaliwa na digital.
Oris watakuwa walibadili bidhaa zao ili kuendana na mahitaji yanayobadilika kwa kasi ya ajabu kila uchao. Saudia waendelee kukandamiza wanawake na kuwaweka misukule ndani simply wana pesa za mafuta kuna siku watawatafutia wanaume overseas hayo mafuta yatakapokuwa priceless siku sio nyingi zijazo.
Saudi wana nyodo sana Mungu anawaadhibu.Ujue katika nchi zote za Khalij ni Saudi pekee wanasheria ya kuchinja watu.??Mwanamke saudi hathaminiwi kabisa mwanaume ndo kila kitu Saudi Arabia.Yani kuna vitu ukisikia unaweza kuhisi kama masihara lakin ni kwel
1.Mwanamke haruhusikii kula ice cream hadharani
2.Mwanamke haruhusiwi kukimbia hadharani hata uwe na haraka vip.
3.Mwanamke haruhusiwi kusalimiana hata na kaka yake wa damu hadharani kwa kushikana mikono au kugusana kwa style yoyote
4.Mwanamke haruhusiwi kudai talaka kama nchi zngne wanawake wanavyopewa kipaumbele.
5.Mwanamke harusiwi kushout hadharani yani upuuz puuz tu
Kivip mbna unanitusi??I think 1999 umeletwa duniani, hujui ukisemacho!
your ignored
Kivip mbna unanitusi??