Saudi Arabia kuwanyonga wanaharakati 3 baada ya Ramadhan

Tusijetukaambiwa tu “mabeberu wa nchi za magharibi” ndo wahusika wakuu
 
We vipi wewe? Nisiihusishe vipi wakati we umeialika dunia ikaandamane Saudia? Ni kweli tunaminywa tusiandamane, lkn ungekuwa Saudia ungethubutu kuanzisha mada 'wanaonitongoza waje hapa' halafu hadi sasa kichwa chako kibakie juu ya shingo?
 
We vipi wewe? Nisiihusishe vipi wakati we umeialika dunia ikaandamane Saudia? Ni kweli tunaminywa tusiandamane, lkn ungekuwa Saudia ungethubutu kuanzisha mada 'wanaonitongoza waje hapa' halafu hadi sasa kichwa chako kibakie juu ya shingo?

Hiyo mada mbona ni pigo kwa watongozaji, toka nimeiweka ile na toka ninavyowaanika watongozaji sasa pm nyeupeeeee. Hata Saudia mada ile ingepewa tuzo.

Unaingelea kukatanamshingo Saudia unaifananisha na Tanzania watu wanachomwa moto kwa kukwapua simu lakini wanaoteleza na kubaka wanaachwa tu. Hiyo ndiyo unaona haki?

Hakika kwa watu kama wewe Tanzania ina safari ndefu sana ya kwenda.

Saudia huifahamu historia yake wala hufahamu hiyo family Makkah na Madinah walipewa na nani waitawale. Ni udhalim ule ule uliofanya Jerusalem kupewa Wayahudi ndiyo huohuo uliowapa ukoo wa Al Saud Makkkah na Madinah. Si yao ile.

Makkah na Madinah should be independent of any King or Sultan it shoukd be under Islamic Ulamaas. Simple.

Soon they will be out.
 
Kwa mbali saana!!unaonekana watawala unawasema vibaya kuwa ni wasaka tonge!!!!Mwezi mtukufu huu waombe radhi!!!
 
Nahisi wewe ni kati ya wale wenye misimamo mikali.!!!!!
 
KWANZA WEWE MUANDISHI WA HIKI KIJI-HABARI CHAKO WEWE MWENYEWE NI MSHIA AU MUATHIRIKA WA USHIA.
UMETENGENEZA SENTENSI ZA KUAMSHA HISIA ZA WATU. NA MASHIA WA YEMEN (AL-HOITHIYUUN) WALE NI WAASI WANAIPINDUA SERIKALI, NA WANA MTANDAO KWA KUSAIDIA NA DOLA LA KISHIA ILI KUIDONDOSHA DOLA YA SAUDIA, WADHANI WASAUDI WATAKUBALI??? SASA WACHENI CHOKOCHOKO.
MSIINGILIE MAMBO YA WATU WAACHENI WENYEWE WATAMALIZANA HUKO MKWELI ATAJULIKANA MUSITAKE WATU WAANZE KUINGILIA MAMBO YASIYOTUHUSU.
SISI HUKU TUNATAKA KUISHI KWA AMANI NA UTULIVU BILA FITNA.
 
Tena kabla sijakujib uniombe radhi kuniita Shia....Kwa sababu wapuuzi fulani wamekariri kuwa ukileta habari fulani utaonekana wewe ni shia...mimi sio itikadi ya hao mashia...
 
Taifa nisilolipenda ni Saudia Arabia.
Bahati yao wanalindwa na us kwa maslahi ya US,
Ila ni wavunjaji wakubwa wa haki za binadamu hawa nguruwe koko,
Dunia ingekuwa sehemu nzuri sana wasingekuwepo hawa jamaa
 
Nilijiwekea ahadi sitoingia wala kuhusiana na chochote na Jf kwa kipindi hiki cha Ramadhani. Lakini nimeikhalifu ahadi yangu na sijui ni kipi kimenituma mpaka kwa ghafla nimeiona post yako ikiwa na mtazamo wenye fikra zilizojengwa na baadhi ya watu kuhusu Uislam na kuzisambaza kwa malengo yao binafsi. Si kila linaloandikwa/kusemwa na watu juu ya jambo fulani ni sahihi, bali usahihi ni kulifanyia tafiti kwa watu wenye maarifa nalo. Halikadhalika na yanayosemwa kuuhusu Uislam.

Maisha ya Mtume yalikuwa ni Qur'an. Itizame Qur'ani yote(Juzuu 30) utaona imejaa msamaha na huruma. Kwa hayo uliyoyataja kuhusu Mtume yote yanapingana na Qur'an. Tukubali jamii inatofautiana katika masuala mbalimbali, maadamu hauvunji sheria wala kuleta ghasia au machukizo kwa mwenzako na kufanya hivyo kunaitwa heshima ya kutofautiana. Tujifunze kuishi kwa kuheshimu imani za watu.

Yanayofanywa na Dola ya Saudi Arabia ni wao wenyewe watajua kwa Mungu. Kama walifanyalo ni heri basi watalipwa heri na Mungu, na kama walifanyalo ni shari basi nao watalipwa shari. Kumuhukumu binadamu mwenzako kifo ni suala pana sana. Na kama wamelifanya hilo kwa kulinda ufalme wao Mungu ndiye anayejua cha kuwafanya. Kwani kuua ni dhambi katika Uislam. Mtume anasema "Mwenye kuua ana laana ya Mungu, kwani kuua ni sawa sawa na kuvunja jengo alilolijenga Mungu". Na laana ni kinyume cha rehma.
 
Hivi FaizaFoxy muislam yeyote duniani anaruhusiwa kuingilia sheria za nchi nyingine ya kiislam ?
Sorry mimi sio Faiza lakin naomba kukujibu.
Kama ingekuwepo Nchi ya kiislam( inayoongozwa kisheria completely za kiislam na wakazifuata naam tungeweza kufanya hivyo.
Lakin isivyo bahati zipo tu Nchi zenye waislaam lakin so za kiislam
 
utawala qa kidhalim = X
utawala wa kidhalim = ✓

Sihitaji hata kukuuliza kama huko shuleni ulienda kufundishwa ujinga kwa sababu ni dhahir hujaenda shule, huwezi kuweka q mahali pa w
Dhahir = dhahiri

Cc:faizafoxy
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…