Anataka kuunga unga maneno ili naye aitwe mwarabu,kwamba 'Msta ARABU' hiyo ARABU ndiyo imeshampa haki ya ku-copy mpaka rangi yao.
Sijawahi kumuona mmatumbi akijiita Mwarabu, Uarabu ni lugha, Kama lugha mama kwako ni Kiarabu basi nawe u Mwarabu Kama lugha uioengeayo ina Kiarabu pia basi wewe ni mstaarabu, una ustaarabu.
Wewe ni mstaarabu au huna ustaarabu?
Achana na Mimi jibu hoja zangu. Hakuna uhindi kwenye hoja yangu. Simple, wewe mstaarabu au hauna ustaarabu?Loh mazaa!nahisi kama binadamu huu mfungo kidogo umechezesha akili yako,reasoning ability yako iko chini sana,yaani naposema sana namaanisha sana!huna hali ya kawaida ya binadam anayejitambua huwaga unakosea humu ila at least unakuwa na point ila leo hapana!
So ni kusema mfano mimi leo nikajua kuongea Kihindi basi automatically nitakuwa Muhindi?nikikiongea Kihehe vizuri basi na mimi Muhehe eti?acha utani basi bwana jiandae na daku hili tutakuja kuelezana huu mwezi ukiisha akili yako itakavyorudi sawa.
....….......Ni mstaarabu!Achana na Mimi jibu hoja zangu. Hakuna uhindi kwenye hoja yangu. Simple, wewe mstaarabu au hauna ustaarabu?
Kwa hiyo na wewe unajiona ni mwarabu?!Wewe unaeituma akili yako vizuri mpaka leo hajafamu kuwa Uarabu si rangi.
Watanzania Leo tunajivunia ustaarabu unafahamu maana ya neno ustaarabu.
Kawabadili rangi Waarabu million 40 wa Sudan. Ukimaliza nenda Saudi Arabia ambao zaidi ya 50% ni weusi.
Mmejazwa ujinga wa kusomea huko mashuleni msituambukize na sisi huo ubaguzi wa kijinga.
Mimi mstaarabu.KWa
Kwa hiyo na wewe unajiona ni mwarabu?!
Na maana ya ustaarabu ni nini?....….......Ni mstaarabu!
Enhe!!!
Si ndiyo utawala qa kidhalim utafurahi.
Kinachotakiwa Waislam waende hijja kwa wingi sana wakalianzishe huko kuutoa utawala wa Saud kwa maandamano tu.
Mwenyezimungu akusamehe tuu sizan km ni jambo LA kheri hata km ww Co muislam... Embu imagine Kati yao mmoja ni mzazi wako
Kwanini wasifukue kaburi la Mohammad na kumuhukumu kutokana na vituko alivyofanya hapa duniani kama vile kubaka wake za watu, wizi, uwongo, kuua na vingine vingi tu vya kipuuzi? Si haki, inabidi na Mohammad naye ashitakiwe, napeleka hii hoja kwa Waisrael walishughulikie.
Huyu nae vipi.....??Hilo povu lote la nn??Wewe bibi ndio sheria za Mussa hizo acha kubwata kaa utulie.
Unaishi nchi ya amani ambayo haina sheria za kizwazwa ungekuwa Oman au Saudia wangeishakunyonga zamani sana, huna nidhamu na wanaume unatuzoea kama dada zako, una_interact nasi hovyo WEWE WATCH YOUR MDOMO bahati mbaya You're just Keyboard hero tu huna lolote[emoji57][emoji57]
Habari za siku nyingi????Naona kama umetumia maneno ya Uchochezi kwa kuhamasisha maandamano kwenye nchi takatifu!!!!Si ndiyo utawala qa kidhalim utafurahi.
Kinachotakiwa Waislam waende hijja kwa wingi sana wakalianzishe huko kuutoa utawala wa Saud kwa maandamano tu.
"Takatifu" ndiyo nini?Habari za siku nyingi????Naona kama umetumia maneno ya Uchochezi kwa kuhamasisha maandamano kwenye nchi takatifu!!!!
Ajuza unataka 'kufa shahidi' au unaupepeta tu nyuma ya keyboard ukifurahia uhuru mwanana wa kuwa Mtanzania? Ungekuwa huko hata keyboard usingekuwa unaijua, ID yako ingekuwa macho tu ndani ya kaniki nyeusi"Takatifu" ndiyo nini?
Anaefanyiwa maandamano siyo ardhi anaefanyiwa maandamano ni binadam. Ardhi ni shahidi.
Usiihusishe Tanzania na masuala ya Saudi Arabia.Ajuza unataka 'kufa shahidi' au unaupepeta tu nyuma ya keyboard ukifurahia uhuru mwanana wa kuwa Mtanzania? Ungekuwa huko hata keyboard usingekuwa unaijua, ID yako ingekuwa macho tu ndani ya kaniki nyeusi
Kwani Israel ni nchi ya kiislam?Nawaza kwa sauti, hivi ingekuwaje kama nchi hiyo ingekuwa ina element za ukristu...!!!