What next after changing your name into tradition one? What will you benefit from that? Mambo mengine ni vyema kufahamu watu wanayafanya kwa mujibu ya iman zao. Hawa waSAUDIA hawajapiga marufuku majina hayo kwakuwa yanaenda kinyume na tamaduni za waarabu bali kwakuwa yanamaana mbaya katika upande wa dini. Kifupi kama unamawazo ya kuwa na majina yako ya kiasili hujakatazwa lakini pia jitahidi ufuate na mila na desturi yako huku ukiachana na kuwa mfuasi wa dini kama uislamu au ukristo ambazo kimsingi hao ndio waliokuja kutufundisha.
Kumpa mtoto jina la asili kunaweza kuwa kitu cha muhimu sana, ndiyo maana hata mimi nimejiita "Kiranga" na si "Sean".
Kulazimisha mtu asiitwe "Sean" ni kitu tofauti kabisa.
Sikatai majina ya asili, mimi mwenyewe nimekumbatia majina ya asili.
Nakataa kulazimisha majina na kuwanyima watu uhuru wa kuamua watumie majina gani.
Mimi siku zote nasimamia uhuru, na kukataa watu binafsi kupangiwa jinsi ya kuishi maisha yao binafsi na serikali.
Hili nataka lieleweke wazi.
Mnaotaka mbaki na majina ya asili msiishie hapo, muwe mnavaa na kiasili, kwani hata mavazi ya sasa ni amma ya kizungu amma ya kiasia.
Sie tuna asili gani wewe!!? Tushukuru kuwa hata hii lugha tunayoelewana humu wametufadhili !! hiyo misemiyati nayo ni yao!! sahau majina ya ny'o nga' nyu' !! tuongee kaBinaadamu na siyo.... kushabikia !! Haki tuseme bhanaa!!Wamezingatia asili yao kwanza, sasa wewe muafrika kumuita mtoto wako Ally Mohamed Ally maana yake nini.. Kuletewa dini na weupe hakumaanishi hata asili yetu haina maana na inabidi kila kitu tufanye kama wao
Mkuu sijui kama umesoma post vyema, Saudia wamekataza hayo majina kwa sababu kuu mbili, mosi yako kinyume na tamaduni zao, mbili ndio za sababu za kidini
Nitapata faida ya utambulisho wangu kupitia jina na nitakuwa nimetunza asili yangu
Siamini dini ya mtu mweupe yeyote FYI
Sie tuna asili gani wewe!!? Tushukuru kuwa hata hii lugha tunayoelewana humu wametufadhili !! hiyo misemiyati nayo ni yao!! sahau majina ya ny'o nga' nyu' !! tuongee kaBinaadamu na siyo.... kushabikia !! Haki tuseme bhanaa!!
Ndiyo maana tunatafuta vazi la taifa tatizo ma ccm huwa hawafanikishi jambo.Kamati ilizunduliwa kwa mbwembwe ilipoishia allah knows
Saudi Arabia ni moja ya nchi za kidikteta zilizobakia hapa duniani.
Hueleweki
Tunayo mengi tu mkuu na mazuri; kabanga , amani, upendo, mfutakamba, bahati, masanja, mwaitako et cetera et cetera
nahisi mizengo kayanza pinda ni mfano mzuri katika hili
Nawaunga mkono hawataki majina ya kishirikia na ya kikafiriiii!!
Majina mengine nayo ukisikia lazima kwanza ugune,Kusudiyao,yashakua,Ntatoloka,Havintishi,Mwandimbo,Avintishi,Nyamkimbo yani uuuuuuuuwiiiiii!..
hayo unayaona mabaya kwa kuwa umezoea haya ya kizungu Nancy, Elizabeth, Magreth, George, Godfrey n.k lakini kama hayo majina yangekuwa common yasingeonekana mabaya