Game Theory
JF-Expert Member
- Sep 5, 2006
- 8,546
- 900
HAWA promoters wawachezee wana muziki wa zaire ambao kwa njaa zao uchukua anything on the table.Huyu Masekela ni a living legend in the african music scene just as mohamed ali is to boxing.EUROPE anapewa red carpet treatment.i wonder why hii mikataba haifanywi watertight
Ila huyu Heri Bomani sijui ni vipi ndio kaishaingia mitini na hela za watu sasa, maana hapa hawa Stanbic na wenyewe walikuwa wame-sponsor hili onyesho pia yaani haileti picha nzuri kabisa especially kwa mwanamuziki mkubwa kama huyu halafu pia kwa mabalozi yaani full utapeliJamaa ni kongwe sana na kasoma Russia enzi hizo.
Jamaa walitaka apige mziki na ndiyo wajifanye watamlipa?
Kumbe yeye ndiyo mwenyeji wa STAGE na mikataba. Siku hizi wengi wanafanya hivyo kwamba kabla hajapanda jukwaani, anahakikisha pesa zake ziko Bank tayari. Sasa na hizi Internet, ni rahisi sana kugundua kuwa pesa hamna na jamaa si ajabu alishamwambia siku chache kabla kuwa pesa kashalipa.......
Kila mwanamziki lazima awe anafanya hivyo. Usije ukaanza safari kama hujalipiwa hoteli, chakula na nauli. Na usije ukapanda jukwaani kama hujalipwa pesa zako. Show ikiisha, imetoka hiyo maana bomani anakuwa amelala mbele.
Mkuu acha tu yaani huu ni utapeli wa waziwazi kabisa watu wamekata tiketi kumbe hamna kitu kuna washikaji zangu watano wameenda jana wamerudi hola hakuna shoo wala nini wakakuta jamaa wanatoa mahema yaani ni aibu tuputanzania inatia aibu,masekela ni jina kubwa sana on the african music scene,hii mikataba inakuwa sio watertight for this has happened a couple of times
Hizi ndizo walizozoea na shoo za wasanii wa Bongo Flava kuwalipa laki mbiliaibu zingine bana.....
si wandelee ku promoti acudo basi.
wapate cheap ujiko mjini hapa...lol