Hana Ngozi Ngumu Atakimbia ChapUsikimbie tu humu
Ngoja ngoma nagwa waje
Ova
Hahahaha tanesco ngoma ngumuHana Ngozi Ngumu Atakimbia Chap
Nawakubali Tanesco Tu Hapa JF Ingekuwa Amri Yangu Yule Anayeiendesha Account Ningempa Cheo Kikubwa Sana Hana Wote Anajibu Kila Hoja
Saa Hizi Ukianzisha Thread Ukawaita Ndani Nusu Saa Atajibu Wale Noma Wapo JF Kweli Kweli Achana Na Kampuni Nyingine Woga Woga TuHahahaha tanesco ngoma ngumu
Ova
Usikimbie tu humu![]()
Ngoja ngoma nagwa waje
Ova