Kimbweka
JF-Expert Member
- Jul 16, 2009
- 8,597
- 1,692
kama nin kumbukumbu vizuri nilisikiwa wakitangaza
intelsat 906 64E
Frequency 3643.78.. hata ukiweka 3644 utaipata
FEC 2/3
Symborate 8545
Asante mkuu hata mimi nina hili tazizo ngoja tukaset tuone
kama nin kumbukumbu vizuri nilisikiwa wakitangaza
intelsat 906 64E
Frequency 3643.78.. hata ukiweka 3644 utaipata
FEC 2/3
Symborate 8545
Nafikiri unaweza kuona ili mradi tu kama unatumia satelite dish mimi natumia free 2 air. kwenye hiyo intelsat 906 64E niliweka frequency 3644 kwa sababu sikujua jinsi ya kuweka hizo point 78 na kuendelea hivyo nilikaribisha 3643 nikaweka 3644;
FEC 2/3
Symborate niliweka 8543 ingawa baadaye niliona kwenye matangazo yao ni 8545 ila kwa kuwa zilishika baada ya kubadilisha sikutaka kuhangaika zaidi. mimi pia bado ni mwanafunzi katika mambo haya.
Asante mkuu hata mimi nina hili tazizo ngoja tukaset tuone
Unasetije hii.....?
Nadhani hiyo free to air ni aina ya dish mana na langu ni eurostar but kwenye manual yake pameandikwa free to air. chanels naombeni msaada wenu wana jamiiHii unaseti mpaka uwe na dish naona hapo juu umesema unataka free on air hiyo sijui
Hii unaseti mpaka uwe na dish naona hapo juu umesema unataka free on air hiyo sijui
Kiongozi setting zinatofautiana kutegemea na aina ya receiver unayotumia,mfano mie natumia EUROSTAR,unabonyeza MENU from your remote,then through on screen display unakwenda Installation,then Transponder manager,ukiwa kwenye Transponder manager upata menu yenye frequncy,symbol rate ambapo utaedit!!Jamani wenye kujua jinsi ya kuset tunaomba mtusaidie maelekezo .
Ni lini tv zetu zihamia kwenye digital kutoka kwenye analog
Ndiyo mtu wangu, nasikia walitangaza b'4 kuwa watahamia kwenye Sattelite gn na Frequency zitakuwa zipi. Watusaidie hata contacts za ITV.
Yani nikipata namba ya simu itakuwa poa na nitazimwaga hapa.
Naomba mnisaidie nipate majina ya Satelite Na Frequency walizohamia ITV, Chanel Five na Capital ili niweze kuwanasa. Tafadhali.
Sio kwamba tulipuuza Mkuu. Mimi niliandika, tabu iko kwenye setting. IT haipandi. Nimebaki na frequency kwenye karatasi lakini sijui namna ya kuset.Tatizo walipokuwa wanatangaza milikuwa mnapuuza!!! lakini sio mbaya, ndo ugonjwa wetu watanzania!!! hata mimi mara ya kwanza kwa Chanel 10 nilipuuza, nikakosa matangazo kwa muda wa kutosha tu!!! sasa, nilikuwa makini si kidogo!!! walipotangaza tu, sikuchelewa kuandika!!!! WABONGO TUACHE TABIA YA KUPUUZA ALERTS
Kweli, wengi tu maamuma kwenye haya mambo ya kiufundiSio kwamba tulipuuza Mkuu. Mimi niliandika, tabu iko kwenye setting. IT haipandi. Nimebaki na frequency kwenye karatasi lakini sijui namna ya kuset.
Mkuu, siku hizi Wabongo tunajitahidi kuamka lakini ndo hivyo tunaishia kunukuu na kuanza kutembea na karatasi. Kazi kwl kwl.
WANA JAMII bado nahitaji msaada wenu.sijafanikiwa kurekebisha hii kitu.sion hiyo satelite 906 naona 707 ku na 902 ku,nisaidieni jinsi ya kubadili hii satelite.wajemeni mbona mie intel nnayoipata kwenye receiver yangu ni 907 na si 906. receiver yangu ni strong 4620 ii, haikubali!
Sio kwamba tulipuuza Mkuu. Mimi niliandika, tabu iko kwenye setting. IT haipandi. Nimebaki na frequency kwenye karatasi lakini sijui namna ya kuset.
Mkuu, siku hizi Wabongo tunajitahidi kuamka lakini ndo hivyo tunaishia kunukuu na kuanza kutembea na karatasi. Kazi kwl kwl.
Kwkwikwiiii!! Pole maamuma, lakini nahisi unazani ukibonyeza bonyeza utaharibu!!! haya madudu hayajaumbwa delicate kihivyo, vinginevyo ingekuwa yameharibikia hukohuko!!! mie nilibonyeza bonyeza hadi ikakubali!!!
Mkuu thanks nimeeenda na mimi kurekebisha sasa mambo bam bam. Kama sio Jf hapo ningedhani kuna kitu kimeharibika! majirani sasa wakija itabidi niwacharge fees lol
Our new parameters are:
IS906@64 DEGREES
SATELLITE FREQUENCY: 3643.7825 MHZ
FEC: 2/3
SYMBOL RATE: 8.545MSps