PostGE2025 Sativa ashitakiwa kwa kutoa taarifa za uongo. Mahakama yaombwa kutoa kibali cha kukamatwa kwake

PostGE2025 Sativa ashitakiwa kwa kutoa taarifa za uongo. Mahakama yaombwa kutoa kibali cha kukamatwa kwake

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections

stakehigh

JF-Expert Member
Joined
Aug 9, 2019
Posts
18,887
Reaction score
14,648
1765709010234.png

1765709024128.png
 
Hii ndo kazi serikali inaweza kuifanya, suala la maji utasikia tusubiri mvua
 
Yani Bado wanahangaika na wanaharakati wadogo badala ya kupiga kimya ili kuponya majeraha ya uovu wao. Mtafunga wangapi? No wonder watu wanashangilia vifo vyenu mifumo yote ya haki Iko compromised na wahuni nani anaamini tena mfumo wetu wa utowaji haki uliochini ya ccm ambao wenyewe ni wezi wa kura?
 
Haya mambo unaweza kuyafanya nchi yako ikiwa na sifa nzuri kimataifa, sidhani kama nchi yetu ina hali hiyo hivi sasa.

Mshtakiwa pia si alipigwa risasi na hadi leo waliomteka na kutaka kumuua hawajakamatwa? Na mshtakiwa anadai anawafahamu?
 
Hakuna Mpinzani au mwanaharakati wa kisiasa aliyepata hifadhi za kisiasa Kenya, Ulaya au Marekani ambae nchi yake itakubali kumrudisha Tanzania kwa namna Tanzania inavyosemwa kuua, kuteka, kubaka, kulawiti na kuwapoteza wapinzani na wanaharakati wanaoikosoa Serikali.

Haya ndo matokeo ya kuwa na AG kilaza mwenye elimu ya kuunga unga asiyejua hata masuala ya msingi tu ya kijinai.
 
Yani Bado wanahangaika na wanaharakati wadogo badala ya kupiga kimya ili kuponya majeraha ya uovu wao. Mtafunga wangapi? No wonder watu wanashangilia vifo vyenu mifumo yote ya haki Iko compromised na wahuni nani anaamini tena mfumo wetu wa utowaji haki uliochini ya ccm ambao wenyewe ni wezi wa kura?
Majeraha na yapone,ila waliochochea kibano sharti kiwakute
 
Sativa ni kichwa kingine kileee huwezi kumtishia Kwa kesi ya mchongo kama hiyo
Kenya ndiyo nchi salama Kwa watanzania, sio rahisi Kwa nchi ya Kenya kumtoa hadharani Sativa ili aje bongo
Mbona walishirikiana na mseveni kumteka Kiza Besije na kumrudisha uganda mpaka sasa yupo jera?
Kiufupi Afrika nzima hakuna sehemu salama kwa hao wanaharakati iwapo serikali zao zitaamuwa kuwasaka kwa udi na uvumba.
Hivi unadhani hao wanaharakati wa tz walio jificha hapo kenya kama wangekuwa wanatoka Rwanda kuna hata mmoja ngekuwa hai mpaka sasa?
 
Back
Top Bottom