NJua nijuavyo hii kiyu kwa wakazi wa DAR kwa sasa nimajanga haipatikani tena, na kiya zaidi kulikuwa nan zoezi la kupair kadi na decorder zao, n ahili lilikuw angumu sana kwa watu wanaoishi njeya ya MENA(Midle east and north africa).
Je unauwakika kuna mtu unamjua natumia dar kwa sasa?
najua arusha na mikoa mingine ya juu huko mwnaza mara musoma kagera hata singida wnapata vizuri kabisa.