Habar ni njema mdau! Mi napendkeza ununue
a} Arsat (Rs600) au Arsat (Rs1000)....
b} Strong' model yyte!
c} Gulf star!
Hayo ndio mapendkezo yangu kwa uzoefu nilionao!
Hapo kwenye Arisat model siyo Rs600 ni Arisat Ar600 au Ar1000. Mkuu kama unaweza tafuta ARISAT AR600 HD MPEG4 DVBS-2 kwani ni nzuri kwa matumizi bei yake pia ni ndogo kati ya elfu 70 hadi 80. Angalizo usije ukanunua receiver ya mpeg2 dvbs-1

kaka hiyo ni pamoja na dish au receiver peke yake?
Hapo kwenye Arisat model siyo Rs600 ni Arisat Ar600 au Ar1000. Mkuu kama unaweza tafuta ARISAT AR600 HD MPEG4 DVBS-2 kwani ni nzuri kwa matumizi bei yake pia ni ndogo kati ya elfu 70 hadi 80. Angalizo usije ukanunua receiver ya mpeg2 dvbs-1
. Badiliko utakalolipata ni kwamba hiyo receiver ya MPEG4 ita shika chanel zote zilizopo kwnye listturud kwny TV sasa nna mediacom mpeg2 na dish futi6 nina C band na KU nikinunua MPEG4 nitapata badiliko gani kwenye tv yangu?
. Badiliko utakalolipata ni kwamba hiyo receiver ya MPEG4 ita shika chanel zote zilizopo kwnye list
Hapo kwenye Arisat model siyo Rs600 ni Arisat Ar600 au Ar1000. Mkuu kama unaweza tafuta ARISAT AR600 HD MPEG4 DVBS-2 kwani ni nzuri kwa matumizi bei yake pia ni ndogo kati ya elfu 70 hadi 80. Angalizo usije ukanunua receiver ya mpeg2 dvbs-1
hv ukifinga ku band juu ya c band ile ambayo inakamata aljazeera ,cctv9,hope,peace ni channel gan unapata hapo na ile c band unaitoboa kwa juu au?
Me ningetoa msaada ila naona sio wengine mtaweza kufanikiwa........Kama mtataka maelezo naweza kuweka hapa ila sherti hilo box liwe connected kwenye internet...