Naamini kuwa hizi ni ngumu kudadavua pia kwani lazima niwe na sim card ya local provider?
Ninavyofaham ni kuwa lazima u register na TCRA ukinunua na kuwa nayo
Je zipi mzuri kati ya Iradium, Inmarsat na Thuraya?
Kama zipo zingine tujuzane na kama kuna mwenye experience nazo atujuze