Satellite Phones kama Thuraya na Iradium

TROTSKY

Senior Member
Aug 30, 2016
134
159
Naamini kuwa hizi ni ngumu kudadavua pia kwani lazima niwe na sim card ya local provider?

Ninavyofaham ni kuwa lazima u register na TCRA ukinunua na kuwa nayo

Je zipi mzuri kati ya Iradium, Inmarsat na Thuraya?

Kama zipo zingine tujuzane na kama kuna mwenye experience nazo atujuze
 
Yaani hapa sijaelewa chochote, ina maana kuna simu bongo zinauzwa ambazo zinatumia satellite? Zinapatikana wapi na kwa bei gani?
 
mkuu hayo ya kuregister TCRA sifahamu ila kutumia simu kama thuraya hakuhitaji local provider, na vifurushi wanauza kwenye site yao huko huko. sijawahi wasikia hao wengine Namfahamu thuraya tu kwa muda mrefu yupo kwenye hili game.
 
Back
Top Bottom